habari wadau..
tunajua wcb ina uhasama na redio na tv karibu zote kubwa.. na hawapigi nyimbo zao nowdays..
kwa ngwaru imetoka kipindi ambacho wameshazuiliwa nyimbo zao kupigwa...
nashangaa...
Good Morning kwenu nyote..
LEO NI #TAZAMAMOVIE FRIDAY
BOFYA MBELE YA MAJINA YA MOVIE KUTIZAMA MOVIE UZIPENDAZO.
"JE ALAUMIWE PART 1"
"JE ALAUMIWE PART 2"...
Ujumbe mzuri kwa wanaoamini na wasioamini.
Great message to believers and Non-believers.
===========
Chorus!
Fanya Hisab Kamili
Upime zako Amali
Upatalo ndilo kweli
Amua Mwenye Akili
Verse
Mja...
Anaitwa Ayodeji Balogun wengi tunamjua kama @wizkidayo kaweka Historia huko UK kwa kujaza uwanja wa O2 ambao unakusanya watu 20,000 na tickets za show zilikua Sold Out siku nyingi tuu kabla ya...
Are you ready to win big?
Do you love singing?
Have you ever dreamt of being a music star?
Here is a chance to get them all in Boomsing!
Sing a song to win
Infinix ZERO 5 Pro, Infinix Hot 5...
Wameshinda magoli mengi kuliko tim yeyote uefa hii
Wamepata cleen sheet nying kuliko tim yeyote uefa hii
Hawajapoteza mchezo wowote had sasa
Wamefuzu nusu fainal kirahis sana licha ya kupangiwa...
Yaani series zao hazitofautiani sana na Movie za kibongo hasa
katika sehemu ya Kurefusha makusudi. Yaani inakuwa ndefu mpaka
unakosa hamu ya kutazama. Hivi mnawezaje kuziangalia hizi???!!!
RIWAYA: C.O.D.EX 4
(A Missing Soldier)
MTUNZI: Frank Masai
MAWASILIANO: 0717 738973
SEHEMU YA KWANZA.
“Tulikuwa ni watu kama watu wengine. Tuliwapenda wazazi wetu kama watoto wengine. Tuliishi...
Tupitie verse ya legendary wa hip-hop kutoka Arusha best story teller raper ov all the time umbwa mzee......nyang'au
Ilikua Manchester bar mida ya saa tisa
Machiz wanapiga deal kwenda kuliza...
habari za saizi waze wote wa forex,blog,bet,mapenzi na wale wenye stress za maisha. anyway
JAMANI kuna miziki mizuri kiasi kwamba hataukiwa na stress au hasira lazima ziishe bila kupenda UKIWA...
historia ya mwanamuziki peter crazy
Mei 19, 2018
peter crazy
peter crazy ni jina la kisanaa la kijana anaeitwa peter msuku ambae ni mwanamuziki wa miondoko ya rap na mwandishi wa nyimbo...