Nani hakuwahi kuchekeshwa na Mzee Majuto?

Nani hakuwahi kuchekeshwa na Mzee Majuto?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,492
Reaction score
17,036
Mnazi hauna makalala, nilipenda na kucheka sana alivyokuwa akiimba na kucheza alipokuwa akiuimba wimbo huu. Jee wewe unakumbuka kipi alichofanikiwa kukuchekesha Mzee yule?
 
Apumzike kwa Amani. Ila kwangu mimi sikuona uchekeshaji wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom