Hi ni moja kati ya TV Drama nzuri Greenleaf usikose kuitizama

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
nimeangalia kuanzia season 1 episode 1 - 7 ingawa season one zimetoka episodes 13 nimefanikiwa kwenye internet kupata 7 tu. kma kuna ambaye anajua nawezaje pata hizo episodes nyingine kuanzia ya 8-13 ntashukuru sana akinielekeza.

lakini pia ina season two nayo imetoka imekamilika yenyewe ina episodes 16. tuelekezane namna ya kuzipata hizi series zaidi ya kutumia index of.... then kudownload torrent. maana kwa njia hiyo ndo nimeishia kupata hizo 7 episodes tu.
 
Wewe chizi huna cha kuwashirikisha wanajf hadi utuletee hizi habari
 
nyie wanawake haya mambo hamyafahamu maybe uwe mwanamke uliyesoma. lakini kwa aina yako hiyo huwezi elewa. waache wenye kuelewa nachozungumzia mama. unaweza olewa bure kabisa bila hata kutolewa mahari hata kidogo kitu ambacho kitakuwa aibu kwa jamii yako.

Back
Top Bottom