Wapenzi wa SA Rap mmesikia goma jipya toka kwa Kwesta ft Wale?

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,687
106,812
Kwa wale wapenz wa hip hop za Afrika kusini. mmeona goma jipya la kwest ft Wale?
Goma beat limesimama kama kawaida yake Kwesta na lile lisauti lake la kukwaruza.
naona imezishinda nyimbo kama
Ngud' aliyomshirikisha Cassper nyovest
Ipati aliyomshirikisha Ricky Ricky Mackhando.

Still am waiting ngoma toka kwa my favorite rapper K.O
Cc.
ningendako
ledada
 
Mbona ni la muda sana hili Brother...
 
Mle ndani amejitahidi sana, sema South Africa kuna jamaa anaitwa Proverd yuko vizuri sana sema havumi kabisa!
Ni suala la muda tu watu watamuelewa aendelee kukaza.
Napenda Rap zenye ki Zulu nataman nifaham kukiongea ..
Kid X naona yupo kimya.
Major League nao sioni
 
Back
Top Bottom