Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Salamu wakuu leo nimeweka chaneli ya boing na cartoon network, nimekumbuka mbali sana show za: ben 10, chowder, adventure time, code lyoko na superman(zilikuwa Itv), amazing world of gumball...
2 Reactions
7 Replies
460 Views
MSANII DUDU BAYA. Msanii Godfrey Tumaini maarufu kwa jina la Dudu baya, amefunguka juu ya wimbo ambao ulimpa umaarufu " Mwanangu Huna nidhamu" Msanii Godfrey Tumaini maarufu kwa jina la Dudu...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukitoa Hollywood, Japan ndiyo wanafuata kwa kutoa movies nzuri na za akili, iwe ni action, drama au animation. Na upande wa animations wanaweza kuwa wanaizidi hollywood. Na ubora wao upo toka...
5 Reactions
7 Replies
661 Views
Wana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place...
57 Reactions
1K Replies
274K Views
Westlife- If I let you go - Brandy- True
17 Reactions
862 Replies
76K Views
Hizi nioja ya animation kali nilizowahi kuangalia 1.nezha 2.nezha reborn 3.Raya and the last dragon 4.Coco 5.Luca 6.The white snake zote mbili 7.How to train your dragon ZOTE 8.Spy in disguise...
11 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu, Najua wengine mpo kanisani sasahv au ndio mnajiandaa kwenda. Licha ya nyuzi nyingi sana hapa jukwaani naomba kujua kwa uchache tu. Director wa hii movie anataka kuthibitisha nini kwa...
4 Reactions
5 Replies
575 Views
Ukiachana na era ya kina KBC, Sugu before 1998 lakini era zingine za muziki wa Bongo nimefanikiwa kuziskiliza na kuishi nyakati hizo vizuri saana. Kama kuna msanii aliyeweza kuishape rap ya Bongo...
5 Reactions
9 Replies
471 Views
Mimi sio mpenzi wa tamthilia ila hii ya Dunia ni kiboko naomba kuwafahamu wale wahusika Kwa undani. Maisha yao kazi zao wanapotoka makabila yao nk. 1. Manyanya 2. Mke wa manyanya 3. Mlevi mme wa...
1 Reactions
6 Replies
941 Views
Hizi hapa nafahamu zitakuwepo, tuongezee zingine; 1. Ndaya .............. M'pongo Love 2. Dear Mama ............. 2pac 3. Bana ba Cameroon ............ Sam Mangwana 4. I miss you ............ DMX...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Kura zi-base kwenye -Impact/influence kwenye game. -discography authenticity -lyrics/punchlines -volatility Binafsi kura yangu Nampa Octopizzo.
3 Reactions
6 Replies
342 Views
https://youtu.be/WDTZHBAdsv4?si=NlySPzTCFWaIXiUd
2 Reactions
23 Replies
876 Views
UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO 1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA.....4000 2. I WANT TO DIE JUDGE....4000 3. GEREZA LA HAZWA....5000 4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wazee sujuwi ni mimi tu au pia kuna wengine wanaweza kuona hili binafsi nimemsikiliza huyu jamaa nimeona ana kitu na cha tofauti na hawa wasanii wengine tuliowazoea na uimbaji wao. Hebu jaribu...
0 Reactions
13 Replies
523 Views
“Guantanamera” ni wimbo maarufu sana kutoka Cuba, unaojulikana duniani kote kwa ujumbe wake wa amani, uzalendo, na utu. Hapa kuna maelezo yake kwa kifupi: Maana ya “Guantanamera” Guantanamera =...
3 Reactions
14 Replies
761 Views
Pharrel Williams hafai, hii ngoma amejua kuisuka. Bila kusahau...Pusha T is him!!! https://youtu.be/P-9aHIcg1Vc?si=QwBmxX8Slo8UEqX7
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Ilikuwa Jumapili nikamwona Rafaeli amekaa juu ya nini?... Ni juu ya baiskeli Namuuliza anaenda wapi kanambia anaenda Ferry Huko Ferry ni kwa nani? Kwa lile jitu tapeli Sasa utamwona wapi? Atakuwa...
11 Reactions
10 Replies
5K Views
Rafiki Yetu Cheda: Alivyopotezwa na Itikadi Kali ya Dini” Utangulizi wa Kijiweni: Basi ndugu yangu msomaji, leo ngoja nikupe story nzito ya maisha halisi ya jamaa yetu tuliyesoma naye Minaki—jina...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Nilikuwa na sikiliza kazi moja ya miaka hiyo kutoka kwa q chief, Wiper nataka kujua Beat Ilifanywa na nani! TZ Vipaji ni vingi sana!! Daah!!
1 Reactions
10 Replies
711 Views
Habari Wadau Kabla ya Bongo movie ya sasa kuna movie zilitoka kitambo sana wakati huo zilikua available kwenye VHS tu nazitafuta sana mwenye kufahamu tafadhari share nasi tunazipataje. Movie hizo...
1 Reactions
0 Replies
374 Views
Back
Top Bottom