Lyrics Identification Challenge

Lyrics Identification Challenge

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,745
Reaction score
8,229
Aje wadau,

Tuchangamshane kwa kutambua lyrics za nyimbo mbali mbali, andika lyrics wadau wajaribu kuzitambua ni za wimbo gani kwa kutaja jina la wimbo, tukifeli unatusaidia kushare wimbo husika. Let the challenge begin.

Me naanza na Lyrics hizi:

"Mtoto huyu hatari miondoko,
Hana mpinzani kama ni soko,
Kimataifa mpaka local,
Mtoto chuma chumbani moto,
Mtoto we chuma shamba ni lako,
Mkulima mimi changu ni chako,
Ushanisoma hii miondoko,
Jijini homa ni juu yako,
Kwetu lini utakwenda,
Vipo vingi utapenda,
Utotoni to Wahenga...."

Niambie ngoma gani hiyo. Mdau weka zako (lugha yoyote) utu-challenge.
 
Aaah jomba, huyo Ni Joh Makini mwamba wa kaskazini -- Dangerous
 
Kabla sijameza mate wala sijabuni sala
Naambiwa walikuja wazabuni kwa biashara
Na kwakua nilichelewa kufungua ofisi
Mchongo ukafa, nimeingizia kampuni hasara

Baada ya masaa kibao ya kufikiri
Ofisi ikaweka kikao kunijadili
Waliniona driver nimeangusha basi
Wakafikia mwafaka wakunifukuza kazi

Nikatahamaki, sikujua lakufanya
Pale kwenye kamati hakuna wa kumtazama
Nikahisi ni mipango ya kikuda imefanywa
Sio gari tu, maana hata nyumba nilinyang'anywa

Nikajiuliza huruma imekwenda wapi?
Kila mtu alijua kua nilipenda kazi
Niliheshimu kama navyoheshimu ndoa ama mzazi
Ama muumba, leo nimepata doa kwenye shati

Acha familia, vipi deni la ofisi
Wamenipa mwezi, nikifeli watanifilisi
Mtoto shule, pia bunju nina shamba la kukopa
Sijalipa na kijiji nina ndugu wa kutosha
 
"My mission is to always stay true,
live to see my dreams come true with you...,
I smell the wine on your breath,
then you turn around and winde by yourself for me, you got me trying to resist..."
 
"My mission is to always stay true,
live to see my dreams come true with you...,
I smell the wine on your breath,
then you turn around and winde by yourself for me, you got me trying to resist..."
SHINSKI mtu mbad

incase you dont know- juma ft nyashi
 
Nakatiza mkwepu, napita mpaka samora
Naona wanazura, mazingira sio bora
wengi ni peku peku, na wachache wana ndala....
 
"imefika tamati tulisubiri kitambo leo samaki kanasa kwenye chambo, pongezi kwa kamati yanavutia mapambo napata picha safi litanikoma bando"

"mwanamke usafi gaga kulisugua mume akirudi sharti massage kumchua, kishaanza sayansi viuno kunengua"
 
"Naposamehe walionikosea haimaniishi nitawasahau

Nitawadharau ikitokea wakapotea kwa ubishi wao

Ikiwa kuishi kwao bila kusifiwa ai-fit kwao basi ma-snitch wao watakabidhiwa stitches zao.

I go harder sio mikwara ka Gosby, sirap kifala ukilinga wala sio Nyosh, nipo deep bhana ka sigara mie moshi, Kankara ya warawara haitoshi..."
 
"imefika tamati tulisubiri kitambo leo samaki kanasa kwenye chambo, pongezi kwa kamati yanavutia mapambo napata picha safi litanikoma bando"

"mwanamke usafi gaga kulisugua mume akirudi sharti massage kumchua, kishaanza sayansi viuno kunengua"
Rayvanny ft.Diamond_Iyena
 
"Nipikie kuku kuku,
Hizi hela nususu,
Za madera zikikukera niambie duku duku,
Hali ya hewa inaruhusu,
Tukikaa tupu tupu,
Ukaniama nikaunga tela huku nashika supu supu.."
 
It is over now
I can't go back to live through your eyes
Too many lies
And if you don't know by now I can't go back to being someone else
Not anymore
I never had the chance to do things my way
So now its time for me to take control

wa nani huu?
 
Don't Let It Break Your Heart_Louis Tomlinson.
 
"Naposamehe walionikosea haimaniishi nitawasahau,
Nitawadharau ikitokea wakapotea kwa ubishi wao,
Ikiwa kuishi kwao bila kusifiwa ai-fit kwao basi ma-snitch wao watakabidhiwa stitches zao..

I go harder sio mikwara ka Gosby, sirap kifala ukilinga wala sio Nyosh, nipo deep bhana ka sigara mie moshi, Kankara ya warawara haitoshi..."
verse ya kubanda fareed rock city nare nare.- like father like son
 
Back
Top Bottom