Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

  • Redirect
Habari wakuuu kwanza nawapenda Sana Samahani kuna wimbo nautafuta Sana halafu Sasa nimesahau aliuimba Nani Ila kuna sehemu wanaimba hv "I lavyuu Maria debodeboooraa ailavyuu Maria...
1 Reactions
Replies
Views
NI KISANGA
0 Reactions
6 Replies
812 Views
Naomba kufahamu wimbo unaohit kwa sasa wa Chibu Dangote. Sababu za kuuliza swali langu ni huu mfululizo anaoufanya kuachia nyimbo kama fungu la.mchicha. Itakuwa vyema kuwa na chati ya TopHit kwa...
1 Reactions
6 Replies
488 Views
Naam Naam yeye ni zawadi ya kimwambao, binti wa pwani. Sijui nimuite malaika wa kibantu, kihabeishia au kiajemi sielewi nimuweke kundi lipi hata Unaweza kuuona uzuri wa wake pia kwa kuitazama...
0 Reactions
6 Replies
948 Views
Wakubwa nakuja tena kwenu kwa mara ya nne,naomba mtu anayejua mahala nakoweza kupata tamthiliya ya SIRI YA MTUNGI ikiwa imekamilika. Youtube kuna episodes chache tu.
1 Reactions
6 Replies
350 Views
Kama ungekuwa wewe ungemfanya nini huyu mwana mke.? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
874 Views
Mimi wakati nimepigika na napambana ili nipate nafuu ya kimaisha hakika nimepitia vitu vingi mno na vingi kati ya hivyo ni vya kukatisha tamaa maishani ila nilikuwa napata moyo na hamasa kutoka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuelekea michezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya kombe la Afrika (AFL) kesho kati ya Simba SC dhidi ya wenyeji Al Ahly, katika dimba la Cairo imebainika kuwa sheria ya goli la ugenini sio...
3 Reactions
6 Replies
943 Views
NOTE: Tofautisha Kifungo cha Maisha na Kifungo cha Miaka. Huyu ni Mwanamke Kutoka Nchini Thailand Anaitwa Chamoy Thipyaso Alihukumiwa Miaka 131,078 Gerezani na Hukumu hiyo Aliipata July 27, 1989...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii riwaya nmeisoma mda c mrefu na jina limenitoka ila ni kisa cha mdada jack na mumewe caros wakitaka kuiba benk naiomba hii mwenye nayo Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ijapokua wengi hua wanapata taabu sana kumuelewa Mrisho Mpoto lakini hakuna atakaebisha kua jamaa anaitendea haki fasihi, hebu sikilizeni huu wimbo wake mpya halafu mlete mrejesho. kiiitendwiiiili
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Leo hii nimepigiwa simu asubuhi na mazungumzo yalikuwa kama hivi: 0688564622: Hello Habari Mimi: Nzuri, Habari ya kwako 0688564622: Mimi ni wakala wa Vodacom Mpesa hapa dar es Salaam Mimi: Ok...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kila nikisikikiliza zilipendwa ya Mond na seduce me ya Kiba then nkihusianisha na comments za watu mtandaoni nashindwa kuelewa kama me nimedownlod nyimbo tofaut na zenu au sikio langu limepinda...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Huu ni wimbo wa bongofleva ambao nilitokea kuupenda sana ila umenitoka kidogo, una mashairi haya; Nilimfukuza mpenz wangu eti kwa sababu ya bintii, nilimfukuza wangu moyo eti kwa sababu ya bintii...
1 Reactions
6 Replies
31K Views
Emancipate yourselves from mental slavery none but ourselves can free our minds, have no fear for atomic energy, cause none of them can stop the time, how long shall they kill our prophets, while...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Verse yake iko hv 'Kazi yao yote ua bure, sasa wanaona ubaya Sisi sasa nawashambulia, wasijue hata lakufanya Jeuri yao wote sasa, imekwisha kabisa leo Kucheza na miziki ya watu,sasa wamekwisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekuwa nikivutiwa sana na uimbaji wa hawa jamaa kwny huu wimbo na video yake ambayo sichoki kuitazama.mwenye lyrics za huu wimbo aweke hapa tafadhal maana nmetafuta sana ktk source nyingi bila...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Msikilize bi Kidude hapa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nyota wa mpira wa vikapu nchini Marekani LeBron James amewapongeza wachezaji wa ligi ya soka ya Marekani NFL ambao wamefanya mgomo dhidi ya rais Donald Trump na kumtuhumu rais huyo wa Marekani kwa...
0 Reactions
6 Replies
970 Views
Back
Top Bottom