Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wimbo mpya wa 'Sina Maneno' by Samedali Afrika, mwanafasihi, sasa unapatikana kwenye mtandao wa youtube na mdundo.com Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Angalia uwezo wake kwa link hii Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CHOMBEZO: TOROJO BAMIA( Winga teleza) SEHEMU: 01 MTUNZI: DR AMBE SIMU: 0713646500 TOROJO BAMIA( Winga teleza) Ilikuwa mara ya pili akipita na ndoo kichwani...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Ziwa la Kreta la Oregon ni Ziwa Lililopo Katika Mji Mdogo wa Oregon Kaskazini Magharibi mwa Marekani Katika Mpaka wa Miji ya California ni Nevada. Katika Mji huu inaelezwa Kuna Zaidi ya Maziwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekutana na kibao cha huyu jamaa. Nadhani ni kipya (sina hakika). Jamaa kaonesha uwezo mkubwa sana. Unaweza kumcheki hapo [emoji116] [emoji116]
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Nyimbo za namna hii sijazisikiliza kitambo sana, atleast a breath of fresh air. Sema amatukana sana, nasubiria clean version CC: RRONDO , Wyatt Mathewson , Upiversity , ningendako , Cole...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Vlado Taneski Alikua ni Mwandishi wa Habari Maarufu sana Kwa Miaka 20 Kutoka Yugoslavia, Alizaliwa Mwaka 1952 na Kufariki Dunia June 23, 2008 Kwa Kujiuwa Mwenyewe Akiwa na Miaka 56 Ikiwa ni Siku...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Can't take your slogans no more, Can't take your slogans no more, Can't take your slogans no more, Can't take your slogans no more. Wipe out the paintings of slogans All over the streets (ooh...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Mada kama inavyojieleza naombeni msaada
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Habari za midaa hi wanajukwaa... Naomben msaada kwa anaejua site nzuri ya kudanlodia efect za vurtual dj au kwe mwenye nazo azitume tafadhal..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hello,JF katika maisha ya kusoma o'level ama advanced level ni definition gani ambayo uliielewa sana na huwezi kuisahau? kwa mfano mimi nilielewa sana na siwezi kuisahau definition hii; commerce...
0 Reactions
82 Replies
6K Views
1. Fergie ft Ludacris - Glamorous 2. Akon ft Colby O Donis- Beautiful 3. Bruno Mars- Just the way you are 4. John Legend- All of me 5. Passenger- Let her go 6. T.I ft Keri Hilson 7...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
RIWAYA;MAMA WA KAMBO. MTUNZI;RAJA SAIDY WHATSAPP;0756920739 SMS;0621047841. UTANGULIZI Katika siku hizi watu wengi uwalaumu mama wa kambo kwa sababu za kimsingi,ikiwemo na kuwanyanyasa wanao...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Wakuu, Nimeona niwaletee mchezo uliotamba sana kwenye runinga zetu mwishoni mwa miaka ya 90 uitwao Tausi. Ni ule wa akina Mzee Kasry, Sitti, Mjuba, Kalumanzira, Tina, Lindi, Vita, Joto, Rukia...
7 Reactions
18 Replies
14K Views
Eneo hili lipo Katika Mji wa Mapimi Kaskazini Kati Mwa Mexico, Linaitwa 'Zone of Silence" Yaani Eneo la Ukimya. Eneo hili Linatajwa Kufanana na Eneo la Bahari la Maajabu la Bermuda Triangle...
3 Reactions
2 Replies
5K Views
Mamba huyu (Gustave) Anapatikana Katika Mto Ruzizi Unaounganisha Nchi Tatu za DRC, Rwanda na Brundi Kaskazini mwa Ziwa Tanganyika, Ametajwa Kuuwa Zaidi ya Watu 300 Wanaokatiza Katika Mto huo Mpaka...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Leo hii nimepigiwa simu asubuhi na mazungumzo yalikuwa kama hivi: 0688564622: Hello Habari Mimi: Nzuri, Habari ya kwako 0688564622: Mimi ni wakala wa Vodacom Mpesa hapa dar es Salaam Mimi: Ok...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau na wapenzi wa Wana Kagera Jisilizie huu wimbo wa Nkulukumbi Wimbo usiochuja! DOWNLOAD FREE WIMBO WA NKURUKUMBI WA MSANII BUSHOKE | BUKOBAWADAU
1 Reactions
5 Replies
12K Views
Mnyama wa kkoo atavaana na huyu Mkongo hivi karibuni Swali langu hivi TP Mazembe keshawah cheza hapa Taifa? Na timu gan? Mwaka gan? Na michuano gan? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
792 Views
CHRIS hakuweza kuvumilia zaidi, akatembea kwa haraka akitetemeka miguu. Alipowafikia akasimama na kuwaangalia kwa kuwakazia macho. Si Davis wala Pamela walioshtuka. Ni kama hawakuona chochote...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…