Hiv TP Mazembe ameshawahi cheza Taifa?

Hiv TP Mazembe ameshawahi cheza Taifa?

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,213
Reaction score
1,233
Mnyama wa kkoo atavaana na huyu Mkongo hivi karibuni

Swali langu hivi TP Mazembe keshawah cheza hapa Taifa? Na timu gan? Mwaka gan? Na michuano gan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kashacheza na Simba, tukamwondoa kwa ushindi wa mezani tukaenda kucheza na Esperance tukapigwa nyingi.

Alishawahi kucheza na Yanga, Manji akawalipia vyura wote kuingia bure.
 
Samatta aliwalaza na viatu siku hiyo na wakamnunua baada ya game


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tuliwakimbiza! Ndio sababu Samagoal kwenda TP Mazembe!
 
Back
Top Bottom