'The Old Man Of the Lake'

FM facts

Member
Joined
Mar 16, 2019
Messages
45
Points
125

FM facts

Member
Joined Mar 16, 2019
45 125
Ziwa la Kreta la Oregon ni Ziwa Lililopo Katika Mji Mdogo wa Oregon Kaskazini Magharibi mwa Marekani Katika Mpaka wa Miji ya California ni Nevada.

Katika Mji huu inaelezwa Kuna Zaidi ya Maziwa Madogomadogo 1400 ya Crater! (Crater Lakes) Yanayojulikana Mpaka sasa Ambayo Yapo Katika Milima ya Cascade, Ziwa Hili ni Mojawapo ya Maziwa hayo na liligunduliwa na 'Joseph Diller' Mwaka 1896 na Kuingizwa Rasmi Katika Hifadhi ya Taifa Mwaka 1902.

Mti huu una Urefu wa Zaidi ya Futi 30 Kwenda Chini na Haijulikani Uliota Mwaka gani Kwani Upo tangu Ziwa Ligunduliwe zaidi ya Miaka 120 iliyopita Hadi leo na Ukapewa Jina la 'Old Man of the Lake'.

Inaelezwa Katika Miji Mitatu ya California, Nevada na San Francisco Iliyopo Kaskazini Magharibi mwa Marekani Kunapatikana Majangwa, Nyika Pamoja na Milima Mingi sana, na Hata Lile Eneo la 'Death Valley' Ambako Kuna Mawe Yanayotembea pia Linapatikana Huku!!.

Ukubwa wa Maeneo ya Miji hio Mitatu tuu ni Karibia na Ukubwa wa Eneo la Nchi nzima ya Tanzania.
Eneo la Nchi ya Tanzania ni 945,087km², Eneo la Miji hiyo Mitatu tuu kwa Ujumla linafika 710,458km².

NB: Pitia Post za Nyuma Kujua Namna gani Mawe Yanatembea! Huko Death Valley.

Powered By @factreads @njootujuzane @artreadsu @bongofacts @dee__genius @jewajua.swahilifacts

#tuvituvitu
#JeWajua
#Planets #AcidRain
#Chombokwahewa
#IloveFacts


IMG_20190403_140843_667.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,392,590
Members 528,644
Posts 34,112,167
Top