Wapenzi wa Bolingo: Huyu Fally Ipupa Ni Mfalme Mpya wa Muziki Kongo?

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,312
Nimekutana na kibao cha huyu jamaa. Nadhani ni kipya (sina hakika). Jamaa kaonesha uwezo mkubwa sana. Unaweza kumcheki hapo

Itamchukua Fally Ipupa miaka 10 ijayo kuja kuwa vizuri sana Kimuziki kama ambavyo wapo ' Mafundi ' waliomtangulia akina JB Mpiana, Koffi Olomide na Ngiama Makanda Werrason. Ni Mwanamuziki mzuri mno ila bado ana mapungufu madogo madogo ambayo Sisi ' Wabobezi ' tuliotukuka wa Miziki ya Kikongo tumeyaona. Hapishani sana na mshindani wake mkubwa wa Kizazi hiki Ferre Gola kwa hayo ' mapungufu '.

Kila la kheri.
 
mkuu nakubaliana nawe, lakini pia ninatofautiana nawe. Sisi wadau wa muziki huu tunayokasumba moja, kutaka kizazi kipya kifanane na kilichopita. Kuwafananisha hawa kina fally, fere, watanabe, bil clinton n.k na kizazi cha zama za kina ngiama ni makosa. Yes ni kweli fally anakimbiza kwa kizazi cha sasa. Kizazi cha sasa kimeathiriwa na kizazi cha sasa cha genre zingne za muziki. Nyimbo kuwa fupi(chn ya dk 4) na pia kushrikisha genre zingine (rhumba +, fusion). So tumfananishe fally na 'wenzake' kama kina watanabe na si kina mpiana.
 
Chukua like . We ndio unaelewa
 
Halafu mkuu toka lini binadamu wakafanana ktk kazi zao? Hata hao alio wataja wamezidiana
 
Kama ni bolingo na nina maana bolingo kwa kizazi hiki cha "tano" kura yangu inakwenda kwa Golla Fere.
 
Itamchukua Fally Ipupa miaka 10 ijayo kuja kuwa vizuri sana Kimuziki kama ambavyo wapo ' Mafundi ' waliomtangulia akina JB Mpiana, Koffi Olomide na Ngiama Makanda Werrason. Ni Mwanamuziki mzuri mno ila bado ana mapungufu madogo madogo ambayo Sisi ' Wabobezi ' tuliotukuka wa Miziki ya Kikongo tumeyaona. Hapishani sana na mshindani wake mkubwa wa Kizazi hiki Ferre Gola kwa hayo ' mapungufu '.

Kila la kheri.
mkuu, ni mapungufu gani hayo ? emu yataje, by the way mimi nadhani kwa sasa fally ndiye mwanamuziki mzuri zaidi congo,kwa maoni yangu
 
Kuna hii ngoma yake hapa ameimba na R-Kelly. Ni hatari sana hii ngoma. Jamaa anatisha sana kwa kweli
umewahi kuisikiliza ndoki ya fally ipupa ? anasema mchawi sio lazima awe na mapembe kwani hata wanyama wanayo,anadai mchawi ni mpenzi wake kwani hamtakii mema, kuna bruce anadai watu waliokufa kwa vita,malaria,kuuana kisa pesa wamuombe mungu atupunguzie maumivu sisi tunaoteseka na mapenzi
 
mkuu, ni mapungufu gani hayo ? emu yataje, by the way mimi nadhani kwa sasa fally ndiye mwanamuziki mzuri zaidi congo,kwa maoni yangu

Sasa umeshasema kwa maoni yako unataka Mimi nisemeje tena? Huoni kwamba nikisema yangu hutokubaliana nayo kwakuwa tayari unaamini hicho unachokiamini?
 
Ndoto za mchana saa Saba,huijui mziki was Congo wewe! Kuna mijitu imefanya makubwa kwenye huu mziki was congo,sema Ipupa anaweka mark ya wanmziki wa kizazi kipya Tu Ila baharini yeye bado ngisi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom