Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Kamwene wakuu. Wale wadau wa simulizi na riwaya napenda niwakaribishe kufuatilia riwaya hii ya kusisimua inayoitwa 'Mkono wa Chuma', mtunzi wake akiwa ni ALEX KILEO. Karibuni wote... the Legend☆
16 Reactions
930 Replies
185K Views
Na Bishop Hiluka (Mwandishi wa stori za kusisimua zilizowahi kuchapishwa hapa JF za Kizungumkuti!; Laiti Ningejua!; Hekaheka!; Hadi Lini! na nyinginezo) 0685 666964 SAA 1:35 asubuhi, Samuel...
13 Reactions
1K Replies
182K Views
TABASAMU: WIMBO MPYA MSAMIATI ft. Jux & Steve RnB - Nyingine TABASAMU: wimbo mpya wa Darassa ft Mwasiti - Ukipenda huoni TABASAMU: LINAH AACHIA VIDEO YA FITINA TABASAMU: Squeezer ft Ommy...
1 Reactions
3 Replies
180K Views
Wadau kama nilivyoahidi leo naanza kuishusha riwaya ya tai kwenye mzoga mpaka mtunzi atakavyonielekeza tofauti. Mtunzi wa riwaya hii ni yule yule KELVIN e. MPONDA. Wasiliana naye kwa namba...
7 Reactions
354 Replies
179K Views
Huu ni ukrasa maalum kwaajili ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za Kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa. Pia, bongo fleva za zamani ni mahara pake...
15 Reactions
766 Replies
179K Views
CLICK HERE NOW BONGOMP3- Download miziki mipya ya bongo | Bongo flava, nyimbo za dini, boringo, taarabu, zilipendwa na VICHEKESHO
0 Reactions
18 Replies
177K Views
*NYIMBO BORA 100 ZA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA (BONGO FLEVA) ZA MUDA WOTE* Imeandaliwa na Dkt. Mujwahuzi Rugayemukamu Mwenyekiti mwandamizi idara ya sanaa na burudani Chuo kikuu cha Dar Salaam...
10 Reactions
101 Replies
176K Views
Kisa cha kusisimua, ni kisa kitamu chenye mafundisho na kuburudisha pia. Nimesoma visa na stori kibao humu ziwe ni dhahania au za kweli lakini zimenipa nguvu na faraja kuwa kwenye record...
18 Reactions
708 Replies
175K Views
Kama nilivyoahidi hapo jana kuwa mwandishi wetu wa riwaya ya mtutu wa bunduki ameniomba niwajulishe kuwa adithi yetu itaendelea kuanzia ijumaa ijayo. Hii inatokana na kutingwa na majukumu mengine...
6 Reactions
544 Replies
175K Views
Nimeisikiliza wimbo mpya wa Roma mkatoliki Leo Nimependa pale anaposema ""Mungu wa daudi mungu wa Paulo na mungu wa yohana"""" Hio sentensi hapo naona inamajibu karibu yote ya kutekwa. Rapa Roma...
34 Reactions
902 Replies
171K Views
RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ) MTUNZI: ENEA FAIDY SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa ni majira ya saa moja jioni ambapo mkuu wa while ya Mabango alikuwa ofisini kwake akiwa amechanganyikiwa...
9 Reactions
458 Replies
170K Views
Haiyaaa haiyaaaa.......... Wale wadau wa hili game........ni msimu mwingine tena umewadia wa kuburudisha mioyo yetu........ Ni leo tar 5 Oct........saa mbili usiku kwa saa za kwetu bongo......(SA...
11 Reactions
1K Replies
168K Views
NI SHIIDA! "Ha! Ha! Ha! Huyo binti yako anaitwa nani?" "Ah! Achana naye, naona hasira hata kulitaja jina lake," alisema mama Juliana huku akionesha hasira za waziwazi kwa binti yake huyo. Muda...
11 Reactions
256 Replies
167K Views
http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=dW6bB4_k2rA
0 Reactions
17 Replies
162K Views
Kama umeangalia angalia hizi movie nisaidie nijue ipi nzuri niitafute, naweza Google lakini ntakuwa sina uhakika kama itakuwa nzuri, nahitaji za dizaini ya troy, alexander, braveheart, 300...
0 Reactions
679 Replies
162K Views
Tujikumbushe movie za Kihindi zilizotubamba enzi hizo. Aishwarya Rai, she is called the most beautiful woman in the world WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUFAHAMISHWA FILAMU HIZI Habari ya weekend...
2 Reactions
452 Replies
160K Views
Simulizi: NGUVU YA MAPENZI Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Mdada mmoja mrembo sana aliyeitwa Angel alionekana siku hii akiwapeleka wadogo zake kuripoti...
6 Reactions
486 Replies
159K Views
Asalaam... naomba km kuna mwenye nyimbo za taarab za zamani anitumie link
1 Reactions
99 Replies
156K Views
Imeandikwa na Lello Mmassy UTANGULIZI Naitwa Joseph Kaduma Ndani Ya Serikali Ya Nchi Ya STANZA Watu Hupenda Kuniita Joe.Nina Nusu Saa Tu Ya Kuamua Kati Ya Maisha Yangu,Familia Yangu Na Utajiri...
22 Reactions
629 Replies
154K Views
Habari zenu wakuu. Poleni sana na siasa za gonga kichwa za nchi hii. Baada ya kumaliza simulizi yetu ile tamu ya BARADHULI MWENYE MIKONO YA CHUMA, sasa basi nawakaribisha kwenye kigongo kingine...
21 Reactions
896 Replies
154K Views
Back
Top Bottom