Wakuu salama? Kwa wale wapenzi wa live band watakuwa wameshanisoma. Ukienda kwenye show za Nyoshi na bendi yake mpya utagundua kuwa jamaa yuko serious sana na kazi. Anahakikisha vifaa vinafungwa...
leo nimesikiliza nyimbo ya young killer ft banana zoro --badilika.
Nimetokea kuipenda sauti ya banana zoro. Dah huyu mchizi anasauti si mchezo nashangaaa sikumjua siku zote hizo.
So ilikua...
Kwakweli mimi kama mpenzi wa Muziki na siyo ushabiki maandazi kwa vijana wa Kitanzania hakuna mwanamuziki zaidi ya Banana Zoro huyu ni super vocalist.
Wadau wa muziki tujurishane huyu kijana yuko...
Hakika tamthilia hii ilituvuta wengi kwa kadri ilivyo ilivyokua na waigizaji mashuhuri,
Lakini sasa naona bora nirudi kulewa maana sultan bila hawa si chochote
Iblahim pasha
Khadije,
Niger karfa...
dada anaamka
mapema na kuandaa kila kitu
ikiwamo na chai,, baba anakunywa chai na kutaka kuondoka.)
MKE: dada msindikize baba ili ufunge geti sababu bado ni giza
DADA: sawa mama.
(Dada anatoka na...
Mwandishi/Mtunzi: NYEMO CHILONGANI.
..................................................
-KIONJO-
Kuna mwandishi mmoja wa vitabu vya simulizi, alianzia kazi zake kwenye Facebook kitambo hicho...
Hakika huyu jamaa ni hatari.
Nyimbo zake hazina matusi wala maneno ya ajabu ila ni nzuri sana.
Tangu niidowload siishi kuisikiliza mpaka nachelewa kulala.
Nahakikisha imekaa kichwani ndo...
Kufuatia mechi kadhaa za mfululizo za ligi kuu ya Tanzania bara kumlazimisha kocha Patrick kufanya rotation kwa wachezaji nimegundua simba tuna wachezaji wengi wazuri
Mo ibrahim bado yuko vizuri...