Simba Sc tuko vizuri

Simba Sc tuko vizuri

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,485
Reaction score
8,667
Kufuatia mechi kadhaa za mfululizo za ligi kuu ya Tanzania bara kumlazimisha kocha Patrick kufanya rotation kwa wachezaji nimegundua simba tuna wachezaji wengi wazuri

Mo ibrahim bado yuko vizuri sana
Nicolas gyan Wonderful performance
Haruna hakuna kama yeye
Ndemla kiungo wa ajabu kabisa
Muzamir utasema nini kihusu yeye ana jicho la kuona
Asante kwasi utulivu wa hali ya juu

Bukaba na Juko wanatakiwa waongeze umakini na kujiamini

Salamba ameshindwa kufanya jambo anapoaminiwa nahisi atatolewa kwa mkopo

Zana labda abakie kama winga na sio beki huyu aindoke kutoa nafasi kwa beki bora mwingine

Dida aende tu
 
Back
Top Bottom