Mbio ya Alikiba inanichelewesha kulala

Mbio ya Alikiba inanichelewesha kulala

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,474
Reaction score
8,139
Hakika huyu jamaa ni hatari.
Nyimbo zake hazina matusi wala maneno ya ajabu ila ni nzuri sana.

Tangu niidowload siishi kuisikiliza mpaka nachelewa kulala.

Nahakikisha imekaa kichwani ndo nikalale.

Team nanihio ruksa kutokwa povu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom