ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Amejitahidi this time, ngoma nzuri.
Pongezi kwake.
Sana aiseeNgoma bomba sana hii
Safi Sana...Kafanya jambo la maana kwenda na upepo wa Diamond kipindi hiki, maana ile ingine ya juzi imebuma!
Mziki huishi mileleDah huyu jamaa bora aache mziki sasa hiki ndonin sasa .. nyimbo ya miaka 10 iliyopita unaitoa leo kwel ? Dah
Yako iko wapi?Dah huyu jamaa bora aache mziki sasa hiki ndonin sasa .. nyimbo ya miaka 10 iliyopita unaitoa leo kwel ? Dah
Ingine IPI ile ni ya omy dimpozSafi Sana...Kafanya jambo la maana kwenda na upepo wa Diamond kipindi hiki, maana ile ingine ya juzi imebuma!
Dodoma kwenye ofisi ya TAMISEMIYako iko wapi?