Wajameni wafuatiliaji wa hii series tumefika season 3 episode ya 15, Vipi tunadhani Sunny,Bajie,Widow wataweza kumpiga Pilgrim na jeshi lake?,,,alafu kama hii itakuwa season ya mwisho hivi!
Songanayo) alikuwa ni binti mmoja aliejinyakuria sifa kemkemu mitaan kuwa ye nimzul binti huyo aliitwa fatma aliishi kwa shangazi ake toka wazazi wake wafarki dunia fatma hakuwa na ndugu mwingine...
Katika hii nyimbo mpya inaitwa i don't care ya Ed Sheeran na Justin Bieber nani ameimba vizuri kumshinda mwenzie. Mimi naona Ed ameimba vizuri sana. Kwanza justin tokea ameoa hata kuimba amesahau...
Hii Ni Riwaya Iliyoandikwa Miaka Ya 1898 Na Mwandishi Morgan Robertson Aliyekua Mtoto Wa Nahodha Wa Meli (Captain). Masimulizi Ndani Ya Riwaya Hii Yanahusu Wasafiri Wanaotumia Meli Kama Chombo Cha...
Polen na mihangaiko ndugu zangun
Niende moja kwa moja kweny maada husika nlikuwa najarb kuwaza ivi ni nani anaweza kuwa mchezaj bora msimu huu wa 2018/2019 katka TPL ? na ukiangalia ligi inaelekea...
Hawa jamaa sijui habar zao hua wanatoa source wap yani huchambua habar za michezo kishabiki badala ya ukwel....
Mfano leo nimejikuta nackiliza kipind cha hili game, shafi dauda anasema game za...
*John Sanga alikuwa na mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua .... Wakati alipo kuwa...
Rock Me Tonight
Freddie Jackson
Oh, ho, ah,
Come on and rock me, ooh, girl
Oh, ooh, oh, ooh, ooh, oh,
Come on and rock me, ooh, girl
Hey, girl, long time no see
Do you have a little time to...
*JOHN MZEE WA KULENGA*
*Sehemu ya 01*
John alitulia chumbani kwake, alijilaza kitandani huku macho yake yakiangalia juu. Kichwa chake kilivurugika, kulikuwa na mambo lukuki ambayo yalikuwa...
Mungu ww ni Mungu, kazi yako haina makosa, katika adhabu kubwa kabisa uliyompa binadamu ni KIFO.. Bwana umetoa, na Bwana umetwaa, jina la bwana libarikiwe..!! 😭😭😭
```Coastal union mmetuwakilisha vema mkoa wa Tanga
1. Tanga
2. Muheza
3. Mkinga
4. Korogwe
5. Pangani
6. Handeni
7. Kilindi
8. Lushoto
Yaani Simba nyie kila Wilaya na goli lakee
Kwa kweli huyu kijana sijawahi kumkubali kabla. Ila sasa rasmi nimekuwa fan wake wa kudumu. Natumai sijachelewa. Hii nyimbo mpya ya INAMA (feat Fally Ipupa) ni kiboko. Waliohisi huyu mtoto...
Tumepoteza mwanamziki mwibgine aliekuwa nguli enzi zake, Beresa Kakere, aliyeimba nyimbo kama
Asiya (na Bima) - Asiya eeh Asiyaa, Asiyaaa, Asiyaa mwanakwetu mama Asiyaa, kitendo ulofanya si cha...
nimeona nichukue fursa hii kuuliza huyu mwenzetu yuko wapi? je walifungiwa au vipi? Je kamdhulumu mtu humu? tushamtafuta kila kona haonekani vipi? Manakijiji mara ya mwisho wewe ulikuwa na mvutano...