my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Katika hii nyimbo mpya inaitwa i don't care ya Ed Sheeran na Justin Bieber nani ameimba vizuri kumshinda mwenzie. Mimi naona Ed ameimba vizuri sana. Kwanza justin tokea ameoa hata kuimba amesahau 🤓 je wewe unaonaje?