Story nilimtupa mwanangu Sehemu ya (1)

Story nilimtupa mwanangu Sehemu ya (1)

Bossmkubwasana

Senior Member
Joined
Apr 9, 2019
Posts
138
Reaction score
47
Songanayo) alikuwa ni binti mmoja aliejinyakuria sifa kemkemu mitaan kuwa ye nimzul binti huyo aliitwa fatma aliishi kwa shangazi ake toka wazazi wake wafarki dunia fatma hakuwa na ndugu mwingine zaid ya huyo shangazi ake fatma hakuwa na maisha mazul kwan nyumba yenyewe walolalamo irkuwa ni nyasi juu hadi chini shangazi ake alijikopa mikopo mingi sana kwa jiri wapate kula baada ya miaka miwili shangazi alipoteza maisha akaiaga dunia fatma alilia sana kwa kumpoteza mtu mhimu kwake watu walohudhuli msban walimtuliza na kumbembeleza lakin baada ya skumoja fatma alishangaa kuwaona watu wengi wakiwa na hasla kubwa wakisema kuwa huyo malehemu amekufa na pesazao alo kopa fatma alijarbu kuwabembeleza kuwa wampemda ye atarpa kidogokidogo lakini walikataa watu hao na waliamua kuuza eneo lote aloacha malehemu fatma alipojarbu kuhoji kuwa mbona wanauza eneo lote yeye ataishi wapi? Walimjibu kuwa atajijua>ITAENDELEA __ WEE UNADANI FATMA ATAISHI WAPI NA KIPIKITATOKE MAAKE TUSHAWAONA WATU WALOKOSWA HULUMA USKOSE MWENDELEZO
 
Hata Shigongo naye alianza kipuuzi hivi na hatimaye leo ni gwiji la hadithi.

Hongera na uendelee hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom