princewilly
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 259
- 528
*JOHN MZEE WA KULENGA*
*Sehemu ya 01*
John alitulia chumbani kwake, alijilaza kitandani huku macho yake yakiangalia juu. Kichwa chake kilivurugika, kulikuwa na mambo lukuki ambayo yalikuwa yakimuandama sana, ila jambo moja kubwa kuliko yote lilikuwa ni suala la mademu tu.
Hakuwa mlevi, hakuwahi kunywa pombe, hakuwahi kwenda klabu, katika maisha yake yote hakuwahi hata kuvuta sigara, vitu vyote hivyo aliviepuka kwa nguvu zote lakini dhambi kubwa ambayo ilikuwa ikimuandama ilikuwa ni mademu tu.
Alipenda mademu zaidi ya pesa, alipenda mademu zaidi ya kazi, kila alipotaka demu mpya, alimfuatilia kana kwamba alifuatilia kazi TRA, alikuwa tayari kufanya kila liwezekanalo lakini mwisho wa siku afanikiwe kwa kile alichokihitaji.
Huyu John alijiita Johnny Love. Mtaani Magomeni Mapipa alipokuwa akiishi, watu walimzoea kama mmoja wa watu waliokuwa wakipenda sana ngono. Mtaani hapo alijulikana kila kona, alipondwa na mademu wengi kwa tabia zake hizo lakini hao hao walikuwa wakimvulia nguo zao kama kawaida.
John alipanga chumba na sebule kwa mzee Mwinjuma, mzee huyo alikuwa imamu msaidizi katika msikiti wa Kichangani uliokuwa hapohapo Magomeni. Alikuwa mzee wa swala tano, asiyependa ujinga hata kidogo na hata aliposikia stori kuhusu mpangaji wake, John alikasirika sana.
Alijaribu kumuita mara kadhaa, aliongea naye. Kwa kumwangalia John alikuwa kijana mpole, sura yake ilikuwa ni ya utaratibu mno kiasi ambacho hata alipokuwa akiwaambia wanawake kwamba alikuwa bikira wa kiume, hakukuwa na mtu aliyepinga.
John alikuwa Dungadunga, mwanaume mwenye uchu ambaye kila alipomuona mwanamke amevaa gauni au sketi na mstari wa nguo yake ya ndani kuonekana kwa ndani, alichanganyikiwa.
Alikuwa mbovu kwa wanawake wanene, aliwapenda, aliwakunja vilivyo kitandani, alikuwa akijua ni kwa jinsi gani alitakiwa kuwapelekea moto ambao kila mwanamke alitamani kupelekewa.
John alikuwa na pesa kiasi, gari yake aina ya Vitz aliyokuwa akiitumia ndiyo ambayo iliwachanganya wanawake wengi kiasi kwamba ilikuwa ni vigumu kukataa lifti kutoka kwa mtu kama yeye.
Mtaani hapo kulikuwa na watoto wengi wa Kipemba, alilala nao kwa asilimia tisini, walipokuwa wakihitaji kupelekwa sehemu, hakuwa na choyo, gari lilitumia mafuta lakini hakuangalia hilo kwani alijua mwisho wa siku kitu alichokuwa akikipata kilikuwa na thamani zaidi ya pesa za mafuta.
John alikuwa na harufu ya wanawake, ile harufu ambayo ukitembea sana na wanawake ilikuwa ikibaki mwilini mwako na kumchukua msichana yeyote yule uliyekuwa ukimtaka ilikuwa mwilini mwake.
Ilikuwa ni vigumu kwa mwanamke kumkataa mtu kama John, ungeanzaje kumkataa? Sura yake ya kipole, jinsi alivyochanganya maneno ya Kiswahili na Kiingereza, jinsi alivyotabasamu na mikono yake laini iliyozoea kuvua nguo za wanawake, ilikuwa vigumu kumtaa.
Mzee Mwinjuma aliambiwa sana kuhusu kijana huyo lakini alikataa katakata. John alionekana kama malaika vile, alijua kucheza na mawazo ya mzee huyo na kila alipomuona akienda kutembelea katika nyumba hiyo ambayo alihitaji wapangaji tu wakae, kitu cha kwanza alikuwa akifungulia nyimbo za dini ndani ambazo zilizidi kumdanganya mzee huyo kwamba John alikuwa mtu wa dini, kama baba yake hakuwa mchungaji, basi alikuwa paroko.
“Huyo kijana anapenda sana wanawake,” alisema mzee aliyeitwa kwa jina la Mkude, alipanga ndani ya nyumba hiyo kwa miaka nane, alikuwa na binti wa miaka kumi na saba ambaye naye alikuwa kwenye rada za John, msichana huyo aliitwa Jamila, alikuwa mzuri wa sura na kifua saa sita.
“Kijana huyu?” aliuliza mzee Mwinjuma huku akimwangalia mzee Mkude.
“Ndiyo!”
“Haiwezekani!” alisema mzee huyo huku wimbo wa Rose Mhando wa Vua Kiatu ukisikika kutoka katika chumba cha kijana huyo.
“Uliza mtaa mzima! Huyu kijana ni balaa! Mimi mwenyewe nataka nihame hapa,” alisema mzee Mwinjuma huku akimwangalia mzee mwenzake.
“Kisa?”
“Hivi unafikiri huyu Jamila atapona kweli? Kwa fisi huyu!” alisema, aliogopa mno.
“Ila mbona ni kijana mpole!”
“Mzee mwenzangu! Humu ndani tuna mabucha, wewe umetuletea fisi...astaghafilulah!” alisema mzee huyo kwa sauti ya chini.
Unafiki mkubwa usoni ndiyo uliomsaidia, ila mbali na hivyo John alijua kucheza na mzee Mwinjuma, kila alipokuwa akienda nyumbani hapo kuwatembelea wapangaji wenzake na kusikiliza kero, John alikuwa akichukua kiasi cha shilingi elfu thelathini na kumpa kama kumsaidia kwenye mambo yake.
Hiyo nayo ikawa sababu ya kutamani kijana huyo aendelee kubaki ndani ya nyumba hiyo kwani alijua wapangaji wengine wasingeweza kumpa pesa kama alivyokuwa akimpa.
Kila alipoambiwa kuhusu John, hakutaka kuelewa hivyo kumuacha kijana huyo afanye mambo yake aliyokuwa akiyafanya pasipo kufuatiliwa.
Ndani ya chumba chake, John alikuwa na kabati kubwa la nguo, lilikuwa la milango mitatu, kwenye kila mlango kwa ndani aliandika majina ya mitandao ya kijamii.
Mlango wa kwanza kwa ndani aliandika ‘Facebook na Instagram’, mlango wa pili aliandika WhatsApp na vituoni’ na mlango mwingine aliandika ‘Vyuoni na Mtaani’.
Kwenye kila kabati kulikuwa na kiboksi kidogo ambacho kazi yake ilikuwa ni kuchukua chupi za wanawake aliolala nao na kuzihifadhi humo.
Ndiyo ilikuwa tabia yake, alichukua wanawake wa Facebook, Instagram, WhatsApp, vyuoni, vituoni ambao alikuwa akiwapa lifti na kufanya nao mapenzi.
Kila msichana aliyekuwa akiingia humo hakuwa akitoka salama, ilikuwa ni lazima afanye naye mapenzi na kumwambia amuachie nguo yake ya ndani ili awe anaiangalia kila alipokuwa akimkumbuka kitu kilichowafanya wanawake wengi kukubaliana naye.
Alijaza chupi nyingi, za kila rangi kabatini, wakati mwingine alikuwa akifungua na kuziangalia, na kila chupi ilikuwa na jina la mhusika. Kulikuwa na ya Zubeda, Amina, Esta, Florence, mama Juma, Mke wa Kobero na nyingine nyingi.
Kwa ujumla mpaka muda huo alikuwa na chupi zaidi ya mia moja na kumi na mbili, aliendelea kuzikusanya kama kawaida yake.
Muda huo alikuwa chumbani kwake. Ni saa moja lililopita alitoka kufanya mapenzi na Jackline wa Instagram. Alilala naye usiku kucha na muda huo alikuwa akiyakumbuka yale mauno ya sotojo aliyokuwa amepewa kitandani.
Baaada ya dakika kadhaa akashtuka kama mtu aliyekuwa amekumbuka kitu, haraka sana akachukua simu yake na kuingia WhatsApp ambapo alikuwa na makundi kama sabini yaliyojaza wanawake wengi.
Akaingia kwenye kundi moja lililoitwa ‘Utajibeba’ ambalo lilikuwa na wanawake kama tisini na kuanza kuweka picha zake ambazo alipiga akiwa kwenye gari lake lililowavuruga wanawake.
HADIJA: Mashauzi kashaanza (aliandika msichana huyo aliyekuwa akiringa kuliko wanawake wote katika kundi hilo)
Hadija alikuwa msichana mzuri, mtoto wa Kizigua aliyekuwa akiishi Tanga. Alinona, alifungashia kiasi cha kuwatoa roho wanaume wote waliokuwa kwenye kundi hilo.
Kila siku kazi yake ilikuwa ni kuweka picha za kuwadatisha wanaume, alipenda sana kuonyesha vikuku vyake ya miguuni ambavyo kwa mtu kama John, akili yake ilikuwa inawaka.
“Unapenda sana kunisakama....” aliandika John.
“Kwani uongo?”
“Sasa Hadija mimi mashauzi yangu yapo wapi? Au kwa sababu tu sisi wengine wabaya na hatuwezi kula laivu?” aliuliza John na watu wengine kuanza kucheka.
“Mtakula kwa macho!”
“Sawa tu!”
John alitumia nguvu nyingi sana kumtaka Hadija, alihakikisha anamvuta msichana huyo jijini Dar es Salaam lakini alishindwa kabisa.
Alimtumia pesa, alidanganywa sana, kila aliposema anataka kwenda Dar es Salaam, John alituma nauli lakini mwisho wa siku mwanamke huyo hakwenda huko.
Ilimuuma lakini hakutaka kusema. Kwake pesa kilikuwa kitu cha kawaida, alichoamini ni kwamba kuna siku tu isiyokuwa na jina mwanamke huyo angekwenda Dar es Salaam na kitu ambacho kingetokea huko, ni shetani tu ndiye anayejua.
Wakati wakiendelea kuchati kwenye kundi, John akashindwa kuvumilia, haraka sana akamfuata inbox na kuanza kuchati naye, kama kawaida akaanza kubembeleza aone kama angefanikiwa.
“Aisee siku ukiingia mikononi mwangu...” alisema John.
“Utanifanya nini baba watoto?” aliuliza Hadija kiutani.
“Nadhani nitakula...nitakutafuna mzima mzima!”
“Hahaha!”
“Wewe cheka tu!”
“Hivi unauweza huu mzigo? Wenzako wamehangaika mpaka wameshindwa!” alisema Hadija.
“Sasa wameshindwaje?”
“Unadhani kirahisi hivyo!”
“Najua ni vigumu! Lakini hata kuonja jamani? Yaani kila siku natoka udenda...nionee huruma basi mtoto wa mwanamke mwenzako,” alisema John.
“Unavyoomba sasa! Mpaka unatia huruma! Ngoja nikutumie picha ya shanga zangu, jana nimenunua mpya kwa Mmasai,” alisema Hadija, hakuchelewa, hapohapo akamtumia picha akiwa amevaa shanga, macho ya John hayakuwa kwenye zile shanga, yeye aliyagandisha kwenye lile nundu, lilivimba ile kishenzi.
“Daah! Unaniua wewe mtoto....Hivi mara yako ya mwisho kwenda chooni lini?” aliuliza John.
“Hahaha! Utajijuuuuuuu...”
“Mh! Mishipa inanisisimka! Naomba nije Tanga! Kinyozi wangu, nitakupa kichwa tu...yaani kichwa tu nitakupa kinyozi sikupi mwili mzima,” alisema John na kusindikiza na emoj ya kuomba.
“Hahaha! Hapo utajifanya kinyozi unipe kichwa...nikikupa unataka kujifanya fundi pool uzame mwili mzima uangalie namna ya kupitisha mabomba ya maji...hunipatiiiiii...” alisema msichana huyo.
John alichanganyikiwa, suruali yake sehemu ya zipu ilipanda mno. Haraka sana akatoka inbox na kuelekea kwa msichana mwingine ambaye alimtumia meseji muda mwingi ila hakutaka kuchati naye kwa kuwa alikuwa bize na Hadija. Hapohapo akamuingia.
“Helen! Hivi kwa nini unanitesa hivi?” aliuliza John.
“Hujambo kwanza!”
“Naomba unijibu swali langu! Salamu baadaye,” alisema John.
“Jamani sasa nimekutesa kwa yapi?” aliuliza Helen huku akitanguliza na viemoj vya nyani kuficha sura.
“Nilimwambia una mwili mzuri sana....”
“Najua!”
“Nikakwambia kwamba nataka nikuone unavyopendeza ukiwa kwenye nguo ya ndani....mbona hutaki kuja nikuone jamaniiiiiiiiii?” aliuliza John kwa kulalamika.
“Sasa ndiyo unalia?”
“Kwa nini nisilie! Nataka nione unavyopendeza, hivyo tu! Sitaki hata ufike nyumbani!”
“Sasa utanionea wapi?”
“Kwako!”
“Weee..unataka bwana wangu akuue!”
“Basi hata kwenye gari yangu! Najua una mwili mzuri sana....nataka nikuone ukibaki na nguo ya ndani unapendezaje! Helen...nakuomba jamaniiiiii...” kidume kiliendelea kulalamika.
“Mh!”
“Pleaseeeee...”
“Upo wapi?”
“Nyumbani!”
“Wapi?”
“Magomeni!”
“Mh! Mbali!”
“Nakufuata na gari langu...plz jamaniiii!”
“Mh!”
“Pleaseee...”
“Mh!”
“Helen...pleaseee...”
“Mh!”
“Nakuomba Helen. Nateseka sana! Nakuomba unielewe!” aliendelea kubembeleza.
“Sawa. Nifuate hapa Kinondoni Mkwajuni. Ila utaiangalia halafu utaniacha niende...sawa?” aliuliza Helen.
“Sawa.”
“Fanya haraka!”
John hakujua ni kwa jinsi gani aliondoka chumbani ila alijishtukia akiwa ndani ya gari lake akielekea Kinondoni Mkwajuni, yaani meseji ile aliyoambiwa ‘fanya haraka’ na mpaka kufika hapo ilikuwa ni ndani ya dakika tano tu, alikuwa hapo ambapo akamuona msichana huyo, ila hakumjua kwa kuwa hakuwahi kuonana naye zaidi ya kuwasiliana kwenye WhatsApp baada ya kukutana kwenye kundi la hadithi la Juma Hiza.
“Nimefika...” alimpigia simu na kumwambia.
“Upo wapi?”
“Unaliona hili gari dogo?”
“Hilo jekundu?”
“Yaap!”
“Nakuja!” alisema Hadija na kukata simu.
John akabaki garini, ilikuwa ni majira ya saa moja, hakumuona msichana huyo ila alipoona kwa mbali msichana akipiga hatua kuelekea kule alipokuwa, akajua tu kwamba alikuwa yeye.
“Mh! Huu mzigo hatari!” alisema, haraka sana akafungua zipu ya suruali yake kwani alijijua ni kwa jinsi gani ilikuwa ngumu kufunguka hasa dharura inapotokea ndani ya gari.
Baada ya Hadija kufika hapo, akafungua mlango wa gari na kuingia ndani. Harufu ya gari ikabadilika na kuwa na harufu nzuri ya manukato aliyojipulizia msichana huyo.
“Mmh!” aliguna John hata kabla ya salamu.
“Sasa unaguna nini? Kuna usalama?”
“Upo mwingi tu! Hebu twende kule pembeni,” alisema John, akaliwasha gari lake na kwenda huko.
Walipofika, akazungumza naye, kwanza akamsifia sana na kumwambia ni kwa jinsi gani alikuwa na mvuto, hakutaka kuishia hapo, akamwambia aende naye nyuma ya gari, msichana huyo akakubali, wakarukia nyuma.
“Unakumbuka nilikwambia nini?” aliuliza Hadija.
“Nione tu halafu niendelee kuwa mpenzi mtazamaji!” alisema John.
“Sawa.”
“Umevaa ya rangi gani?” aliuliza kitamaa, macho yake yalibadilika.
“Nyekundu!”
“Hebu niione!” alisema John.
Kwa msichana kama Hadija, wala hakutaka kuzuga, akafungua jinzi yake na kumuonyeshea John ambaye haraka sana akaupeleka mkono wake na kuigusa.
“Sasa unataka kufanya nini?” aliuliza Hadija.
“Kuijua rangi yake!” alijibu John huku akibabaika, akili yake tayari iliwaka.
*JE, nini kitaendelea?*
Sent using Jamii Forums mobile app