Hiki ndicho kinachonishindaga kusiliza habar za michezo CLOUD MEDIA

blackbandana

Member
Aug 30, 2014
39
51
Hawa jamaa sijui habar zao hua wanatoa source wap yani huchambua habar za michezo kishabiki badala ya ukwel....
Mfano leo nimejikuta nackiliza kipind cha hili game, shafi dauda anasema game za mwisho za EPL game ambayo itakua ngumu ni brighton vs man city kwa sababu kila timu inahitaji ushindi kwamba man city anahitaj ushind ili achukue ubingwa na brighton anahitaj ushind ili abak ligi kuu akat kiuhalisia brighton ashabak ligi kuu, timu zinazoshuka daraja ni 3 na zishashuka tayar kwa hiyo brighton hana cha kupoteza.
Niwashaur tu clouds watangazaji wake wawe wanachambua mpira kuhalisia ili wasiwalishe matango pori watu wanaotegemea redio kupata taarifa
IMG_20190510_092129_906.JPG
 
We pimbi kwel sasa apo wakati wanachambua bado hizo timu zilizopo kwenye kushuka zina mechi km tatu hv brighton hapo lazima akomae asipoteze mechi huoni Cardiff wanampulia matakoni ukikosoa Jikosoe na we usilete ujanja maandazi apa
 
Shaffih ni muongo Sana...Kuna siku alisema kuwa United ilikuwa haijawah kufanya come back baada ya kufungwa goli mbili tangu sir Alex aondoke....ni mpuuzi Fulani hivi...yeye na Hassan Ngoma huwa wanajiona wanajua kumbe hakuna kitu kichwani...vimbelembele tu
 
We pimbi kwel sasa apo wakati wanachambua bado hizo timu zilizopo kwenye kushuka zina mechi km tatu hv brighton hapo lazima akomae asipoteze mechi huoni Cardiff wanampulia matakoni ukikosoa Jikosoe na we usilete ujanja maandazi apa
Pale unapo ona makengeza... Alafu una elekezwa bado mbishi... Rudia tena kuangalia vizuri...
 
We pimbi kwel sasa apo wakati wanachambua bado hizo timu zilizopo kwenye kushuka zina mechi km tatu hv brighton hapo lazima akomae asipoteze mechi huoni Cardiff wanampulia matakoni ukikosoa Jikosoe na we usilete ujanja maandazi apa
Ukiona mtu anatumia lugha ya matusi au dharau inabidi umtilie mashaka kidogo uwezo wake.

Fafanua hizo mechi 3 wanazitoa wapi hao Cardiff?

Labda tuambie walikuwa wanachambua lini na kila timu ilikuwa imecheza mechi ngapi na ilibakiza ngapi?

Sisi tumeona timu zote zimebakiza mechi moja. Hii ni kwa mujibu wa msimamo wa ligi siku aliyo leta mada hii muhusika.
 
We pimbi kwel sasa apo wakati wanachambua bado hizo timu zilizopo kwenye kushuka zina mechi km tatu hv brighton hapo lazima akomae asipoteze mechi huoni Cardiff wanampulia matakoni ukikosoa Jikosoe na we usilete ujanja maandazi apa
Wewe pimbi zaidi ya shaffih
 
Back
Top Bottom