Muda umeenda Sana ukilinganisha na kule mziki Wa Bongo fleva ulipotoka nafikiri mziki umekua kiasi kuelekea kule lengo linapoitajika.. Kwa wewe Ni nyimbo gani unazikumbuka na haziwezi potea...
Natafuta series zifuatazo kwa yeyote mwenye ako nayo yoyote kati ya hizi anisaidie..![emoji440]
24
Breaking bad
Homeland
The widow
Lost
Money heist
Narcos
House of Cards
Hanna na
The wire..!
Pia...
Leo interval ya kupata tiket na kuondoka ni lisaa lizima. Magari yakifika kituoni (gerezani) yanashusha abiria na kuondoka bila abiria. Huko ni kutuzoea kama hawawezi serve demand warudishe...
Nimegoogle sana bila mafanikio.
Msaada wakuu wa huu wimbo, napendaga beat na maghani yake.
"Leee leee, leee leee, leee leee, nikifanya mimi mwapiga kelele, mkifanya nyinyi imekuwa gere, mnaota...
2008 to 2019
Asante mungu wangu kwa mafanikio ulio tupa familia yangu leo baba angu ni mwalimu mkuu mama anamiliki kituo cha kulea watoto a.k.a DAY CARE yani kwa life ya kiafrica sikuzan kama...
Jana klabu ya @simbasctanzania ili-post picha za nahodha wake John Bocco zilizoambatana na ujumbe kuwa amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo kwa miaka miwili zaidi.
.
Taaarifa...
Intro: Scarface:
I sit alone in my four-cornered room staring at candles
Oh that shit is on? Heh
Let me drop some shit like this here Real smooth
Verse One: Scarface
At night I can't sleep, I...
Into the Badlands Season 3 returns on Sunday, March 24 at 10 p.m. ET. AMC confirmed the date at their 2019 TCA winter press tour appearance. Into the Badlands Season 3 first premiered on Sunday...