Ngoma zilizowahi kusumbua bongo mpaka Leo ina utamu uleule - Dushelele" on YouTube

eden kimario

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Messages
9,906
Points
2,000
eden kimario

eden kimario

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2015
9,906 2,000
Moja kati ya kazi nzuri sana kuwahi kufanywa na Kiba.
Mbali na kuimba pia Kiba huwa ananifurahisha namna anavyotumia lugha ya Kiswahili vizuri kufikisha ujumbe.
Hakika mpaka Leo nasubiri ngoma nyingine Kali kama hii kwenye miondoko hii kutoka kwake.
 
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
5,224
Points
2,000
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
5,224 2,000
Hakuna iliyotamba na itakayozidi kutamba kama “Kifo” wa Remy Ongala.ukitaka kuamini ngoja mtu akate umeme utakuja hapa kusema.
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,466
Top