Kama kichwa cha habari kinavyosema. Ninashida na hazo pads. Kama unazo tufanye biashara.
Asante.
Hiyo ni bei ya pad 1 au 2?
Mbona bei ya pad mbili inakalibia bei ya ps4 yenyewe?
Au ww ulinunua lak4
Itakua alinnua kwa mtu
Kweli, harafu huyo muuzaji alivyo mjanja pad hajampa.
Ina maana kauza ps4 lak5.
Harafu kauza pad lak2
Jumla kauza kwa laki 7 full set.
Mpya inauzwa mil1 ikipungua lak 9.5
Sasa na alishaitumia. Ina maana kapata faida.
Ndio na hyo milion unakuta bdo haija chipiwa
Nina ps4 ambayo nimeitumia tokea 2016. Sasa hivi pad moja imeharibika, ndio maana nikataka kureplace. Sio kwamba ndio nataka nianze kutumia hivi vitu sasa hivi.[emoji3][emoji3][emoji3] ana mtihani huyu bado kununua dvd ya game nayo laki na nusu.
Au abahatishe used ambayo unainunua si chini ya 80000
bei ndio hiyo mkuuNina ps4 ambayo nimeitumia tokea 2016. Sasa hivi pad moja imeharibika, ndio maana nikataka kureplace. Sio kwamba ndio nataka nianze kutumia hivi vitu sasa hivi.