Shalom wana wa Mungu
Jumapili ya leo nimeamua niitumie kuyatoa ya moyoni juu ya muziki wa injili hapa Tanzania.
Ki ukweli hawa waimbaji wa siku hizi wa injili wamakera sana na nachelea kusema...
Msanii, mwanamapinduzi, mpinga ubaguzi na mtetezi wa haki za watu ambao daima wamekuwa wakionekana wanyonge Lucky Philip Dube, ambaye alifariki dunia Alhamisi ya Oktoba 18, mwaka 2007, baada ya...
Nimeamini kuwa ili uchukiwe wewe fanya kazi kwa bidii kisha ufanikiwe na naweza kusema kuwa watanzania tuna wivu sana kwa waliofanikiwa hasa kama ametokea familia masikini kisha kwa juhudi zake...
Nimejaribu kuangalia baadhi ya movies za wenzetu nimegundua kuna utofauti mkubwa wa movies zinazozalishwa na makampuni tofauti ya Marekani
Mimi binafsi napenda Muvi iliyotengenezwa na The...
Salaam wakuu,
Naanzisha uzi huu maalumu kwaajili ya kurate movies ambazo tumeshaziwatch, ni kama our own version ya rotten tomatoes au IMDb. Nikianza na avengers endgame, binafsi nairate 6.5/10...
Muziki wa zamani ulikuwa na burudani ya aina yake. Mbali ya utunzi mahiri na uimbaji hodari, nyimbo nyingi zilitungwa kuelezea visa na mikasa iliyowahi kuwakuta wasanii husika.
Kupitia uzi huu...
VERSE:
Old pirates, yes, they rob I,
Sold I to the merchant ships,
Minutes after they took I,
From the bottomless pit,
But my hand was made strong,
By the hand of the Almighty.
We forward in this...
Wakuu habari za morning. Niwashukuru sana kwa kupeana burudani ktk hili jukwaa letu pendwa. Kama kichwa cha habari kilivyo naombeni kwa atakaye jaliwa anipe movie ya MONKEY KINGDOM Iliyotafsiriwa...
Kubali Matokeo!
Ilikuwa mapema sana asubuhi, mitaa ikiwa safi na isiyo na watu, nilikuwa nikitembea kwenda stesheni. Wakati nikilinganisha muda unaosemwa na saa ya kwenye Mnara wa Saa na ile...
Ee bwana najua kila kabila wana nyimbo zao ila za hawa watu zimekuwa nyingi mno! Kuna jamaa yangu huwa anajishughulisha na kazi za u-DJ, aliwahi kuniambia akialikwa kutumbuiza kwenye sherehe zao...
SIMULIZI HII IMEKAMILIKA
IMEANDIKWA NA : LEICESTER PETRON
CHANZO : BURE SERIES
SEHEMU YA KWANZA
Kawaida kwenye maisha tunakumbushwa kupenda kujituma kwa bidii zetu zote pale tufanyapo kazi zetu...
Simulizi za Majonzi
▼
NILIMUUA NIMPENDAYE (I KILLED MY BELOVED ONE)- 1
Jina langu naitwa Eunice, mtoto wa tatu kati ya watano wa familia ya baba yetu, mzee Ansbelt. Nilizaliwa miaka 26 iliyopita...
Tuambiane! Whats your best love song? Like listening to it. Whether alone or with your love! Maana nyimbo zinahusika sana!
Kwangu mimi, za kizungu
1. My endless love ~Diana Ross & Lionel Richie...