lukinga01
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 440
- 406
Wakuu habari za morning. Niwashukuru sana kwa kupeana burudani ktk hili jukwaa letu pendwa. Kama kichwa cha habari kilivyo naombeni kwa atakaye jaliwa anipe movie ya MONKEY KINGDOM Iliyotafsiriwa kwa ajili ya burudani kwa wanangu. Nitashukuru sana wakuu.