Movies Rating Special thread....!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,043
21,517
Salaam wakuu,
Naanzisha uzi huu maalumu kwaajili ya kurate movies ambazo tumeshaziwatch, ni kama our own version ya rotten tomatoes au IMDb. Nikianza na avengers endgame, binafsi nairate 6.5/10, japo marvel wali-invest hela nyingi lakini zile sci-fi effects zimezidi sana hata mtoto mdogo humdanganyi na storyline haijakaa poa maana kama tony stark amekufa sijajua mwendelezo umekaaje. Karibuni wadau
 
Hehe.. kama ni ishu ya kufa.. Mbona Black widow kafa kwenye Endgame na mwakani tunafungua na muvi yake.. tena Tony stark yasemekana atakuwepo.
Muvi itakua ina setting ya miaka ya 97s kama sijakosea.
Muvi za marvel hawaigizi mambo ya kufikirika ila hua wanatuonyesha mambo yajayo mbeleni
 
Ni marvel studio? Kutoa muvi nyingine sio ishu, ishu mwendelezo, watakuja kukosa story za kutuambia mbeleni, bora hata x-men dark Phoenix
 
Nilimaanisha Marvel studios.. Mwakani si ndo twaanza Phase 5. Dark phoenix sijaiona ila sijui kwanini Joker rating yake imefika 9.8 wakati imeonyeshwa siku moja tu Venice..ngoja tuisubir October waki release USA
 
6.5 to the top grossing movie of all times !!!

Understatement of the century..

Endgame naipa 9/10....
 
Sawa mkuu
Nilimaanisha Marvel studios.. Mwakani si ndo twaanza Phase 5. Dark phoenix sijaiona ila sijui kwanini Joker rating yake imefika 9.8 wakati imeonyeshwa siku moja tu Venice..ngoja tuisubir October waki release USA
 
Dem Mkali aje DM nikamlipie Century cinema tukachek Ad Astra. Only wa JF
 
Siku hizi horror sizimaind kivile, af henry cavill ametoa floppy muvi haijawahi tokea yaan. Inaitwa night hunter, najuta kupoteza mb zangu

Dah usiniambie mwamba? Night Hunter nimeidowmlod bado kuicheki unataka kusema nimechochora kichakani?

Halafu hio Anna aliyoiongelea hapo nadhani ni ile ya Demu wa KGB model/assasin who wanted out akawaplay wote CIA & KGB. Sio ile horror
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom