Avengers

B

bluephoenix

Member
Joined
Dec 10, 2018
Messages
5
Points
45
B

bluephoenix

Member
Joined Dec 10, 2018
5 45
Kati ya avengers zote ipi ilikuwa kali?

Ni avenger yupo ulimkubali sana kwa upande wako?
 
kizaizai

kizaizai

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Messages
3,050
Points
2,000
kizaizai

kizaizai

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2010
3,050 2,000
Thor and Capt America. Infinity war. Endgame bado sijaiona.
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
21,113
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
21,113 2,000
Thor, Doctor Strange,Black Panther,Spider na Eeehh bana mm nawapenda wote. Sema napenda Thor,hulk, na Peter Quill walivyo Funny wakikutana
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
21,113
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
21,113 2,000
Avanger Infinity war na Avanger age of Ultron ndio kali zaidi kuliko Endgame
 
Tony-stark

Tony-stark

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2019
Messages
348
Points
250
Tony-stark

Tony-stark

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2019
348 250
*Marvel's avengers hii ilikuwa Kali Sana.

*Iron man ni habari nyingine.
 
M

mkhande95

Member
Joined
Aug 9, 2019
Messages
74
Points
95
M

mkhande95

Member
Joined Aug 9, 2019
74 95
Age of ultron noma. Nimependa pale kundi zima la avengers wameenda kwa kina Hawkeye, sasa Thor katika kuangaliaangalia akavunja kidude cha kuchezea cha mtoto wa Hawkeye halafu kama akawa anamuangalia captain America akaushe asiseme kitu. Walioangalia hii avengers age of ultron watajua ni wapi nazungumzia, nilicheka kweli yaani!
 

Forum statistics

Threads 1,336,612
Members 512,670
Posts 32,545,204
Top