Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hivi ni vifaru vilivyokuwa maarufu wakati wa WW2. Ni M4 Sherman cha marekani na PanzerKampf wagen au kwa kifupi ni Tiger Tank. Hivi Tiger Tanks vya kijerumani ndio vilikuwa vifaru bora na...
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Video inaanza kuna mwanamke amevaa mavazi ya chui anatembea kwa miguu minne kama chui halafu anakutana na wanaume watatu nakumbuka alifanana kama jason dalulo ila nimetafuta katika nyimbo zake...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Siku moja asubh na mapema! Nikiwa naenda kwenye biashara yangu! Nilikutana na mzee mmoja akiwa na wazee wengine akaniita akaniambia Kijana njoo: inaonekana una Mungu sana maana hata kutembea kwako...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pongezi ya kwanza iende kwa mwandishi wa vitabu Stephen King. Hii muvi imetolewa kwenye kitabu cha bwana Stephen King kinachoitwa Rita Hyworth and Shawshank. Waigizaji waliopo ni pamoja na Tim...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Rapper wa Kike Tanzania Rosa Ree Ameachia Video ya nyimbo mpya inayoitwa - Kupoa Nimekuwekea hapa chini uitazame mtu wangu.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ilikuwa ni miaka 12 iliyopita siku ya tarehe 28/04/2008 katika shule ya KANTALAMBA BOYS SEKONDARI iliyoko katika manispaa ya SUMBAWANGA, siku ilianza kama kawaida kwa wale waliosoma shule za...
6 Reactions
58 Replies
7K Views
Wadau habari zenu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Pasi na kupoteza muda nataka ku share Mambo fulani fulani ambayo binafsi huwa nayazingatia ninapotazama filamu yeyote ile. Ipo hivi, wengi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya sifa nyingi nikaamua kulipia wasafi ili nione nini kipya Dah! Target yangu ilikua nianze na kipindi cha BIG SUNDAY LIVE.. nimesikitishwa sana kwa tv chanel inayosifiwa sana na vijana...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Habarini wakuu, nitakuwa hapa kuwaletea simulizi hii "Niacheni nikufuru" mpaka pale itakapoisha. Yote itaishia hapahapa Jukwaani. Kila siku nitakuwa naachia kipande kimoja kulingana na maelekezo...
4 Reactions
188 Replies
24K Views
Habari zenu wakuu naomba msaada wa beat ya wimbo huu wa y-tjukuta ulioimbwa na kikundi cha uhuru toka SA. Nimejaribu kuutafuta mtandao lakini sijafanikiwa, ntashukuru endapo nikiupata
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Waandishi wa filamu walikuwa na vionjo vyao katika maisha ya mateso ambayo mtazamaji anaweza jikuta anamwaga machozi wakati anaangalia filamu. Hali hii ilikuwepo hata Tanzania kipindi filamu...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Movie hii inaitwa "Cannibal Holocaust" Itafute Ni movie yenye kutisha mno na matukio yake yakiwa kama yana ukweli ndani yake. Baada ya movie hii kutoka Director wa movie hii alikamatwa na...
2 Reactions
59 Replies
17K Views
Hizi chanell hapo chini nimeangalia video zao zote walizo upload 1.just4laugh gags Hawa ndiyo wa Kali wa zile prank dunia nzima hakuna Kama Hawa 2.Drew Binsky, Hii ni travel vlog huyu jamaa...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Unapozungumzia ulimwengu wa burudani basi industry ya filamu imetutendea haki sisi ambao ni movie goers. Hivyo basi kuna watu wamejaaliwa katika kuunda script za story hadi inatengenezwa movie...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari Wakuu za Wakati huu? Natumaini wazima wa Afya. Okey, Mimi bwana katika Wanamuziki ninaowakubali ana Mmoja wapo ni huyu Bwana Oliver Ng'oma, huyu jamaa tumuache tu, Nikiwa nipo home...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama unataka kuskiliza wimbo utakaokutoa stress either za kutemwa na pisi yako au kudaiwa kodi, ama ada ya shule ya mtoto tarehe 29 .. Basi tafuta huu wimbo. Ibrahnation -naamini. Thank me later...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasalam.... Huu mziki nimeanza ufuatilia kitambo sana na nimetokea kuukubali sana. Huwa nazielewa sana zile Booming Basses(808). Baadhi ya midundo ninayoikubali ni hii hapa. 1. Meek Mill -...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Paul Mwangosi (beaat na baadhi ya maneno japo kapiga Kiswahili Debora Lukalu
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…