Msaada: Natafuta wimbo huu

Msaada: Natafuta wimbo huu

Breaking bad

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,464
Reaction score
3,495
Video inaanza kuna mwanamke amevaa mavazi ya chui anatembea kwa miguu minne kama chui halafu anakutana na wanaume watatu nakumbuka alifanana kama jason dalulo ila nimetafuta katika nyimbo zake nimekosa.

Shukrani wakuu
 
Jason darulos ft Montana
 

Attachments

  • Screenshot_20200626-232046.png
    Screenshot_20200626-232046.png
    143.9 KB · Views: 12
Back
Top Bottom