Chanel 5 za YouTube za mbele ninazo zikubali

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
3,111
Reaction score
3,999
Hizi chanell hapo chini nimeangalia video zao zote walizo upload

1.just4laugh gags
Hawa ndiyo wa Kali wa zile prank dunia nzima hakuna Kama Hawa

2.Drew Binsky,
Hii ni travel vlog huyu jamaa ametembelea kariibia kila nchi duniani, na pia anajua kupanga maelezo, Hadi visiwa vya huko Pacific

3. Mr beast
Huyu jamaa anagawa hela, magari, huwa anavichallenge vyake amazing,
Siku akili yake ikimtuma afungue show room ya kugawa magari bure, au anapita kazini kwako anakuambia nilikupa shngap unaacha kazi, ukimwambia million 100 anakupa hapohapo, review za watu wengi wanasema huyu jamaa ni kweli kabisa na sio fake.

4. Nomad trails
Jamaa na wife wake wanatoka Finland kwa baiskel kuja kuizunguka Africa, kwa Sasa wamekwama Gambia kwa sababu ya Corona.

5.Bright side
Hawa jamaa wamejikita kwenye maswala ya anga za mbali, kiujumla wako vizuri,

Nyingine ni
Natgeo
Space x
Kaelin and Kyra
Macquies brownies
 
Hapo namtazama Drew na bright side tu wengine sijawatazama....hebu tupe za hapa bongo
 
Bongo hakuna ubunifu Sana
Watuwanaigana
Kidogo , naangalia,
1. Big chawa, anawahoji wasanii wazamani ambao wamepotea kwenye game
2 . Jenafa tv
3. wasafi kwenye kipengele cha the story book, hata global tv
4.sirjeff Denis, yule Ontario aliyewaliza watu kwenye forex jf lakini
Yupo POA ananondo
5. Naswa prank ya Kenya
6. Wode Maya jamaa wa Ghana
 
Just for laugh Gags nawachungulia sana nikiwa nimeboreka! Wazee wa Quebec.
 
Just for laugh gags kila siku angalau nipite kuangalia niweke tabasamu usoni. Jamaa wabumifu sana hawa.
 
Bongo hakuna ubunifu Sana
Watuwanaigana
Kidogo , naangalia,
1. Big chawa, anawahoji wasanii wazamani ambao wamepotea kwenye game
2 . Jenafa tv
3. wasafi kwenye kipengele cha the story book, hata global tv
4.sirjeff Denis, yule Ontario aliyewaliza watu kwenye forex jf lakini
Yupo POA ananondo
5. Naswa prank ya Kenya
6. Wode Maya jamaa wa Ghana
Naswa.... naswa.... Naswaaaa
 
Hizi chanell hapo chini nimeangalia video zao zote walizo upload

1.just4laugh gags
Hawa ndiyo wa Kali wa zile prank dunia nzima hakuna Kama Hawa

2.Drew Binsky,
Hii ni travel vlog huyu jamaa ametembelea kariibia kila nchi duniani, na pia anajua kupanga maelezo, Hadi visiwa vya huko Pacific

3. Mr beast
Huyu jamaa anagawa hela, magari, huwa anavichallenge vyake amazing,
Siku akili yake ikimtuma afungue show room ya kugawa magari bure, au anapita kazini kwako anakuambia nilikupa shngap unaacha kazi, ukimwambia million 100 anakupa hapohapo, review za watu wengi wanasema huyu jamaa ni kweli kabisa na sio fake.

4. Nomad trails
Jamaa na wife wake wanatoka Finland kwa baiskel kuja kuizunguka Africa, kwa Sasa wamekwama Gambia kwa sababu ya Corona.

5.Bright side
Hawa jamaa wamejikita kwenye maswala ya anga za mbali, kiujumla wako vizuri,

Nyingine ni
Natgeo
Space x
Kaelin and Kyra
Macquies brownies
Mr beast anatoa wapi hivyo vitu ni vyake na yeye anafanya mishe gani?
 
Mimi hata wafunge chanel zote waniachie "Ultimate rap league"ya mtu mzima smack(Madevu), "KOTD"na TEDx Talks
 
Mkuu unahusika na nini hiyo wengine tupo huku Nanjilinji ndani ndani hatujui ya ulimwengu huo wa kwenu
 
Naangalia sana channel moja inaitwa free documentary wana video zao zipo kama series hivi moja inaitwa dangerous way to school (hapa wanaonyesha ni kiasi gani watoto wanavyopata tabu kufika shule kutokana na mazingira waliyopo) na nyingine inaitwa deadliest journey (hapa wanaonyesha jinsi gani watu wanavyo jitoa muhanga kusafiri kwenye barabara/njia za hatari)

Hii ndio channel niliyoiwekea notification on!
 
Back
Top Bottom