Nsam
JF-Expert Member
- Oct 25, 2018
- 212
- 290
Siku moja asubh na mapema! Nikiwa naenda kwenye biashara yangu! Nilikutana na mzee mmoja akiwa na wazee wengine akaniita akaniambia
Kijana njoo: inaonekana una Mungu sana maana hata kutembea kwako kuna derseve! Akanambia unaitwa nikasema fulan unakaa wap maahl fulan akanambia kuna jambo nisikia
Ww unatembea na mke wa mtu! Nikamwambia ww una mamtatzo. Akanambia kijana nisikilize
Hili jambo linatakiwa lipoozwe nikacheka sanaa
Hahaah nikwmambia nipooze na nni!@
Sent from my iPhone using JamiiForums