Steven Spielberg vs Paul Greengrass: Nani Director bora wa filamu?

Boeing 757

JF-Expert Member
May 18, 2020
288
612
Unapozungumzia ulimwengu wa burudani basi industry ya filamu imetutendea haki sisi ambao ni movie goers.
Hivyo basi kuna watu wamejaaliwa katika kuunda script za story hadi inatengenezwa movie.

Japo kuna ma director wametendea Kazi taaluma zao ila huyu aliyetengeneza movie sequel za Jason Bourne aliitendea haki taaluma yake .huyu sio mwingine bali ni Paul greengrass .Kazi za huyu jamaa nimezivulia kofia, haswa ile ya captain Philips ya 2009.

Pia kuna Steven Spielberg wa save captain captain Ryan Pamoja na Munich amezi direct vyema kwa kweli kazi zake hizi .

Hebu nawee tupia jina la director wa filamu na kazi yake ambayo aliitendea vyema kuiongoza.

Screenshot_20200610-165654.jpg
Screenshot_20200610-165547.jpg
 
Personally nitaenda na Paul Greengrass kwa uwezo wake wakuongoza filamu akiwa na kamera "Cinematographer" kuliko Steven Spielberg anayekaa akiongoza huku Cinematographers wake wakitoa matokeo.

Ukiangalia movie za Spielberg kama Transformers, Jurassic Park, AI - Artificial Intelligence, Twilight Zones na Indiana Jones utaona amebebwa pakubwa na Editor's, Virtual Effects Artists na Cinematographers.

Greengrass kupitia Jason Bourne, Captain Philip's, The Fix, 22 July na Green Zone utashuhudia kipawa cha kuongoza kwa mfano kutokana na kuhusika moja kwa moja katika Editing, Virtual Effects na Color. Hivyo Paul Greengrass ni mzuri zaidi ya Steven Spielberg.
-
Nakumbusha Captain Philips ni 2013.
 
HIVI TRANSFORMERS SIO MACHAEL BAY KWELI MKUU MAANA HUWA NAFUATILIA MOVIES ZA MICHAEL BAY SANA HUWA `NI FULL ACTION STUNT ZA MAAANA
 
Spielberg ni bora kuliko greengrass. Directors ambao wanaweza kushindanishwa na Spielberg ni Peter Jackson na Cameron. Ungozaji wa spielberg siku zote unaangalia mbali sana. Wengi (sisi Watanzania)wanaweza kumchagua Greengrass kwasababu tunapenda filamu za kupigana na bunduki sana. Ila hata kwa success rate Spielberg yupo mbali sana. Greengrass is good but spielberg is legendary and an excellent director according to me

Nakukumbusha tu: Saving private Ryan
Jaws
 
Personally nitaenda na Paul Greengrass kwa uwezo wake wakuongoza filamu akiwa na kamera "Cinematographer" kuliko Steven Spielberg anayekaa akiongoza huku Cinematographers wake wakitoa matokeo.

Ukiangalia movie za Spielberg kama Transformers, Jurassic Park, AI - Artificial Intelligence, Twilight Zones na Indiana Jones utaona amebebwa pakubwa na Editor's, Virtual Effects Artists na Cinematographers.

Greengrass kupitia Jason Bourne, Captain Philip's, The Fix, 22 July na Green Zone utashuhudia kipawa cha kuongoza kwa mfano kutokana na kuhusika moja kwa moja katika Editing, Virtual Effects na Color. Hivyo Paul Greengrass ni mzuri zaidi ya Steven Spielberg.
-
Nakumbusha Captain Philips ni 2013.
Transformers ni Spielberg kweli?
Au ndio umetuona mamburula tU acha utukombe
Transformers sio Michael bay kweli
 
Mel gibson ni directory ninae mkubali ajawahi kuniangusha huyu mzee.HACKSAW.MAD MAX.hizo ni chahe lakni anavyo vitu
 
Sijui nitakuwa natoka nje ya mada..ila naomba niweke mawazo yangu..kwangu sijaona na hakuna mwongozaji bora wa filamu kama ..Christopher nolan
 
Transformers 1 spielberb ndo alikua executive producer, na ni Spielberg aliemteua Michael Bay kuongoza na mshauri mkuu wa hiyo movie ni Spielberg pia
 
Wote wakali
Linapokuja swala la nani zaidi nadhani Steven anatisha zaidi
Nilimuelewa sana kwenye;
Jaw
Schindler's List
Saving Private Ryan
The Terminal, na
Munich
 
Stanley Kubrick ndio best director, kwa sahivi naona Christopher Nolan na Quentin Tarantino hawatuangushi, about hiyo battle hapo mi naenda na Spielberg huyu jamaa ni hatari
 
Wote Kubrick na Nolan wanamuangalia sana Spielberg. Spielberg ni fundi kweli kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom