Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,663
Hivi ni vifaru vilivyokuwa maarufu wakati wa WW2. Ni M4 Sherman cha marekani na PanzerKampf wagen au kwa kifupi ni Tiger Tank. Hivi Tiger Tanks vya kijerumani ndio vilikuwa vifaru bora na vilivyokuwa vinaogopeka na majeshi mengine ya maadui vilikuwa ni vifaru imara na vyenye makombora yanayoweza kusambaratisha vifaru vingine.Tiger tank ni hicho kipana zaidi