Huu wimbo Darassa kafanya nimuone level za kimataifa... umekaa kama wimbo wa mambele huko....
Hata Justine Bieber kwenye albamu yake ya "changes" hana song kali kama hili
Nimeshindwa kuupandisha...
MOSES ZAMANGWA ~ AFROJAZZ (TANZANIA) 2016
Moses Zamangwa was born in the southern part of Tanzania. Songea Region.
His Music Journey started 16 Years ago and almost half of his music career he...
Kwa anayekumbuka hii nyimbo jamani, nimeitafuta YouTube nimekutana na live version pekee, sio tamu Kama z
nyimbo yenyewe
Mashairi yake Ni
Upo Uhuru wa kusema hutaki, lakini si wa matusi dada aah...
Ilinichukua muda nikiwa kimya najiuliza maswali siyo chini ya 20 kwamba Harmonize ataingia jukwaani kwa style gani? Sikutegemea kuona akija na helikopta maana alishaitumia kwenye mazoezi. Nikiwa...
NOTES TO: POLICE FORCE,FBI,CIA,INTERPOL,TISS and ALL GOVERNMENTS SYSTEM all over the World.
"INNOCENT" special Video song to Police Officers, FBI,CIA,TISS and Governments Systems. Watch this...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram , mwanamuziki lady jaydee amepost list ya wageni waliobook VIP table kwenye siku yake ya kusherekea miaka 20 toka aanze muziki , ambayo inafanyika wiki hii tarehe...
Hope mpo good mapopo wenzangu
Kulingana na maisha yako ya mahusiano nyimbo gani inaendana na hali yako ya mahusiano
Binafsi "cry no more" ya breezy ndo inanifariji kidogo
Pia nyimbo ya Khalid...
Niende kwenye mada moja kwa moja wakuu
Napakua movie kwa kutumia Utorrent katika pc sasa kuna baadhi ya movie zikiingia nashindwa kuziplay kabisa sijui shida ipo wapi
Picha
Movie ambazo...
Mapenzi si mabaya.. hebu acheni kuzua..
Hivi hamuoni haya..eti mapenzi yanaua..
Nipo chini ya himaya.. polepole naugua..
Wazuri niwengi ila kwako nimetua.
Nimekuwa mfuatiliaji wa muziki wa REGGAE kwa muda mrefu sana. Nikiri wazi kuwa muziki wa Reggae ni mziki bora zaidi duniani kwa mtazamo wangu.
Hata uandaaji wake nahisi ndio mziki pekee hutumia...
Tanzania nimetafuta movie ya Bongo ambayo Starring ameigiza Kama Raisi wa Nchi isitoshe hata Waziri sidhani kama ipo. Na nyie mnisaidie Kama ilishawahi tokea Hiyo hapa Tanzania.
Hata mtu akisema...
Ahlan wasahlan wanajukwaa,
Huyu kijana wa kuitwa Mbosso "Khan Mushedede" kutoka viunga vya WCB kiundashi, melody na hata jinsi anavyoimba yuko njema.
Shida yake ni moja tu: habadiliki, kila siku...