zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Tanzania nimetafuta movie ya Bongo ambayo Starring ameigiza Kama Raisi wa Nchi isitoshe hata Waziri sidhani kama ipo. Na nyie mnisaidie Kama ilishawahi tokea Hiyo hapa Tanzania.
Hata mtu akisema aigize kama Raisi wa Nchi sidhani kama ataipata location nzuri kwa ajili hiyo movie labda aigizie hotelini.
Dah! Bongo
Hata mtu akisema aigize kama Raisi wa Nchi sidhani kama ataipata location nzuri kwa ajili hiyo movie labda aigizie hotelini.
Dah! Bongo