Kwa maoni yangu/Mtazamo wangu

Kwa maoni yangu/Mtazamo wangu

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,505
Reaction score
5,096
Nimekuwa mfuatiliaji wa muziki wa REGGAE kwa muda mrefu sana. Nikiri wazi kuwa muziki wa Reggae ni mziki bora zaidi duniani kwa mtazamo wangu.

Hata uandaaji wake nahisi ndio mziki pekee hutumia ubunifu mkubwa sana kwenye kuandaa.

NB: NAWEZA SEMA KWA MTAZAMO WANGU_UKIWEKA NA WA KWAKO SI MBAYA
 
Back
Top Bottom