Natafuta nyimbo ya Suzanna ya Les Mangelepa

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,806
18,786
Kwa anayekumbuka hii nyimbo jamani, nimeitafuta YouTube nimekutana na live version pekee, sio tamu Kama z
nyimbo yenyewe

Mashairi yake Ni

Upo Uhuru wa kusema hutaki, lakini si wa matusi dada aah

Akupendaye amependezwa nawe, usimchukulie fala, kamweee

Nimegundua Siri moja maishani, mwanadamu hupenda anayemdanganya eeh

Ukimweleza ukweli, hamtaelewana kamwee eeh

Ninamlilia Suzanna, nafasi sina ya kumweleza , Aya ahhaa
 
Back
Top Bottom