Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Your can be a soldier without combat and army, be a soldier in your destiny, be a soldier to your carrier and have fun being a self soldier. Myself iam a soldier in my position as musician...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu wanaofahamu naomba kufahamishwa tafsiri ya wimbo KIJITI wa Marehemu Bi kidude. Baadhi ya maneno ni "Tazameni tazameni alivyofanya kijiti, kumchukua mgeni kumchezesha foliti, kenda nae...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Leo Dunia inaadhimishwa Super Human Day ambayo ni siku maalum ya kuwatambua watu ambao ulemavu haujawazuia kufanya mambo makubwa kwenye jamii. Embu Kama Mwana Jamii Forum Embu Mtaje Mtu Mwenye...
1 Reactions
4 Replies
810 Views
Love him or loath him, Magu got rhythm. He can dance. Ila bado sielewi kwa nini hao walinzi wake wanavaa njano na kijani za CCM!
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Aiseee kuna watu wanajua sanaa ila FIREBOY ni moja wa wasaniii wakali sana kwa sasa Nigeria huwezi ongea kuhusu mziki ukamuacha huyu mwambaa... Ametoa album mpya inaitwaa APOLLO baada ya LTG...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Mama Omary, mama aliyeishi maisha ya kifahari akiwa na mumewe miaka ya 1990s. Mume wake alikuwa anafanya kazi wizara ya Fedha miaka hiyo na bahati mbaya alipata ajali wakiwa kwenye shughuli za...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Janeth ni mwanamke mwenye urembo wa asili lakini alikuwa anapendwa kwa rangi yake yangozi na sura ndogo ya raundi, macho yake ya kurembua, sauti ya kubembeleza kama kinanda. Umbo lake simple na...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwako sikujua wangu, Sikujua mpenzi wangu wa jadi,wa zamani,Leo hii nina mengi yakukujulisha ,naomba dakika zako chache.Nisikilize,nakuahidi sitachukua,sitakuyang’anya mda wako.Nimeandika barua...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
NIDA Wamesitisha Kutoa Copy za Vitambulisho Mtandaoni 44 minutes ago [https://1] Leo January 30, 2020 Nakusogezea hii taarifa mpya kutoka Mamlaka ya Vitambulisho Taifa NIDA ambapo wasitisha...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wyu8pfjkk
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NJIA PANDA YA VWASU (Simulizi ya Huba) DAVID NGOCHO SAMSON 0629077792 01 Naikumbuka vema ile siku. Alinipigia simu, nami nikaipokea kwa bashasha na furaha tele. Huyu alikuwa mpenzi wangu...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Imepita muda kidogo tangu niache kufuatilia mziki wa hapa nyumbani kutokana na wafalme wenu Ally na Naseeb kuimba vitu visivyoeleweka vyenye maigizo mengi. Sasa leo wakati napita barabarani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jina na wimbo: Leo ni vifijo na vigelegele Nakupongeza sana kwa wimbo huo wa zamani kidogo.Ni wimbo ukipigwa hadi leo ninasimamisha shughuli zote kwa kuwa naupenda sana. Nimejitahidi kuutafuta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
LOVE HAS POWER TO CHANGE LIFE AND IMPOSSIBLE. Being engaged in Love stress and depression can run away and you be come relaxed. . This animated video song #POWER OF LOVE# is for showing True...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Miongoni mwa nyimbo za kampeni zitakazovuka mpaka ni wimbo wa Zuchu wenye kiitikio.." Jua lile literemke Mama"..wapinzani watetereke sana".Una mahadhi nzuri ya reggae, mahadhi inayochezeka na watu...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Special Song for #SOUTH AFRICA NATION# to build diplomacy&international relation. . My animates song special for #SOUTH AFRICA NATION# you can watch now for good Diplomacy
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu.. Huu ni wakati ambao Watanzania wengi wapo macho sana kusikiliza taarifa kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania hasa zinazohusu uchaguzi mkuu unaopangwa kufanyika Oktoba 28...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Ikumbukwe wiki iliyopita Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) liiadhibu Clouds FM na Clouds TV kusitisha matangazo kwa siku 7 hadi Septemba 03, 2020.
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Najua wengi mnanyimbo za CCM mnazozipenda.Kwangu mimi wimbo bora kabisa kwa Mwaka huu wa Uchaguzi ni Tusikosee umeimbwa na MdaiJasho. Ni wimbo ambao uko tofauti sana na nyimbo zingine maana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…