Wimbo bora wa CCM 2020

N'gwanantugwa

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
347
343
Najua wengi mnanyimbo za CCM mnazozipenda.Kwangu mimi wimbo bora kabisa kwa Mwaka huu wa Uchaguzi ni

Tusikosee umeimbwa na MdaiJasho.

Ni wimbo ambao uko tofauti sana na nyimbo zingine maana jamaa kaelezea Mazuri ya awam hii kwa upekee wake.
Kagusia Vitu sensitive sana.

Hafahamiki sana ila anashangaza sana kwa harakati zake
Hapa nimecopy alichoandikwa Twitter akaambatanisha na Link ya wimbo wake.
Samahani Ndugu zangu.

"Wimbo wangu nahamasisha watu wasikosee katika uchaguzi wamchague JPM.Ntafurahi sana kama wimbo huu utamfikia @MagufuliJP @DBiteko @hpolepole ,ndugu Bashiru,@MsigwaGerson na wanaCCM wote. Sikilize kisha sambaza

Asante kwa ushirikiano
Tusikosee-Sahani MdaiJasho(audio)

Wewe wimbo gani mwaka huu umekukisha kabisa.Taja wimbo unaoukubali tuchambue maudhui kulinganisha na naoukubali mimi.
Mode;tafadhali msiunganishe uzi...huu niwakiuchambuzi zaidi
 
Takwimu hazidanganyi
Tanzania ya sasa ya zuchu ndio bora kupita zote
Screenshot_20200903-142014.png
 
Back
Top Bottom