kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Jina na wimbo: Leo ni vifijo na vigelegele
Nakupongeza sana kwa wimbo huo wa zamani kidogo.Ni wimbo ukipigwa hadi leo ninasimamisha shughuli zote kwa kuwa naupenda sana.
Nimejitahidi kuutafuta sana ila bahati mbaya hata YouTube haupo.
Kama kuna mtu anamfahamu mama huyu,au ana wimbo huo,tafadhali sana anipatie.
Ila ningependa sana niwasiluane na muhusika.
Ahsante ni hayo tu