Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

kuna collabo nyingi nzuri tu ila zipo ambazo kwangu ni nzuri zaidi. huwa napenda collabo kwani ndani yake utasikia radha na sauti tofauti tofauti.... zifuatazo ni baadhi tu ya collabo hizo...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba nisiwachoshe wakuu, kama mada isemavyo naomba kujua huyu jamaa aliyeimba wimbo wa hip hop uitwao nakupenda hip hop, wa kuitwa Roho 7 yuko wapi siku hizi? Leo nimesikiliza nyimbo yake na...
2 Reactions
26 Replies
8K Views
Nimeangalia wimbo tajwa happ juu kwenye Channel ya EATV nikiwa makini kabisa kujaribu kuelewa ujumbe wa msanii lkn nimetoka kapa kabisa. Jamaa kwa mafumbo ni balaa. Najua kuna wataalamu wa fasihi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi hakuna Chemistry kati ya Diamond Platinumz na Star Boy Wizkidayo. Wangapi waliwahi kuwaza hii Collabo?
2 Reactions
4 Replies
713 Views
Niaje wanyakwezi Moja kwa moja kwenye mada nimekuletea mjadala hapa tufunguke nani mnyama wa mumble na caption lyrics kati ya hao wawili, binafsi kwangu Gunna anajua kuliko Baby , fact zipo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Album ambayo imesubiliwa sana na mashabiki zake na ilipikwa muda mrefu sana hapa namzungumzia Star Boy Wizkid. Kupitia I.G yake Wizkid anatuambia Mwezi wa 10 anaachia Album kama inavyoonekana hapo...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza Jonijoo na B Dozen sasa watakua ndani ya kipind kimoja cha EMPIRE kinachorushwa na EFM kuanzia saa 1 jioni.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyu mdada aliigiza uhalisia hadi kero. Ila Hii filamu pamoja na nyingine ya the exorcist ya miaka ya 70 zimenifunza mengi.kwa yeyote aliyeziangalia hizi filamu nikiri haukupoteza muda wako.
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Jipatie Netflix Account 1 User Tsh 10000 Unakuwa Na Profile Yako Nicheki Pm Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wapenzi wengi wa story book nadha mlighadhabika sana kipind,Kijana mwenye Sauti ya dhahabu Mtiga Abdallah alipofutwa kazi Wasafi Fm. Mimi nilkua moja ya watu nilio mind sana na nilikua...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Wadau, Netflix huwa wanatoa different contents according to location. Walioko USA hawawezi pata same contents kama aliyepo Tanzania. Kuna show ziko restricted according to location. Nikitumia...
1 Reactions
7 Replies
969 Views
James Bonds pitted against each other in viral videoBy Mike Krumboltz | Movie Talk – 6 hours ago (AP Photo/File)We all know James Bond is unkillable. He's survived explosions, deadly top hats, a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika pita pita yangu youtube nikakutana na nyimbo za wasomalia asee ni nzuri mno japo sielewi waimbacho ila nimependa nyimbo zao kuanzia melody,beat,uvaaji na sauti Hizo apo ni baadhi ya nyimbo zao.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu naombeni majina ya muvi nzuri za kipelelezi zisizochosha kuangalia na stori Moto....
4 Reactions
31 Replies
9K Views
Kijana mtanzania kaimba moja ya wimbo mgumu wa Rihanna
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mzuka, Bado najiuliza huyu mwamba wa Country Alan Jackson alinipitaje nisimjue vizuri na kupenda nyimbo zake muda mrefu huo wote? Huyu mwamba ni hatarii Aisee. Ana nyimbo kali sana za country...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Mambo vip wakuu, natafta platform, link or club yoyote ya wapiga vyombo vya mziki(Guitar) apa DSM ambayo may be watu hukutana hata once(weekend) kwa week kupractice. Nina Acoustic Guitar ila...
1 Reactions
2 Replies
669 Views
Wakuu naomba kujua vifaa muhimu vya studio ya muziki kwa kuanzia. Natanguliza shukrani!! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Wakuu wana JF, Hii nyimbo nivute kwako ya Diana Nyange ft Barnaba ni nyimbo nyepesi sana kwa masiko ya kawaida! Lakini kimapenzi huu wimbo una kumbukumbu nyingi sana kwa wengi! Wewe una...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…