B Dozen na Jonijoo ndani ya kipindi kimoja cha Empire

B Dozen na Jonijoo ndani ya kipindi kimoja cha Empire

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,507
Reaction score
14,803
Kwa mara ya kwanza Jonijoo na B Dozen sasa watakua ndani ya kipind kimoja cha EMPIRE kinachorushwa na EFM kuanzia saa 1 jioni.
 
Hamna kipya tasnia ya habari hasa kizazi hiki cha Bongofleva,ni kuigana tu.
Na kujitafutia mashabiki kama team za mipira
Mara team jonijo mara team wasafi.
Mzunguko uleule.
 
Back
Top Bottom