Mu7
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,654
- 2,002
Nimeangalia wimbo tajwa happ juu kwenye Channel ya EATV nikiwa makini kabisa kujaribu kuelewa ujumbe wa msanii lkn nimetoka kapa kabisa. Jamaa kwa mafumbo ni balaa.
Najua kuna wataalamu wa fasihi humu. Jamani naomba kujua ujumbe wa Mrisho katika wimbo huu.
Najua kuna wataalamu wa fasihi humu. Jamani naomba kujua ujumbe wa Mrisho katika wimbo huu.