MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 20,080
- 35,252
Wakuu wana JF,
Hii nyimbo nivute kwako ya Diana Nyange ft Barnaba ni nyimbo nyepesi sana kwa masiko ya kawaida! Lakini kimapenzi huu wimbo una kumbukumbu nyingi sana kwa wengi!
Wewe una kumbukumbu gani na huu wimbo? Just be frank, hii ngoma huwa inaliza wengi waliopenda wenzi ambao sasa pengine sio waume/ wake zao. But that's life! Nini una kumbuka?
Tukumbushane tu!