philipophilipo
Member
- May 16, 2020
- 88
- 95
Album ambayo imesubiliwa sana na mashabiki zake na ilipikwa muda mrefu sana hapa namzungumzia Star Boy Wizkid. Kupitia I.G yake Wizkid anatuambia Mwezi wa 10 anaachia Album kama inavyoonekana hapo kwenye post yake ya Instagram..
Kwenye hiyo album ni ngoma mbili tu ambazo zimesikika moja amefanya na mwanadada H.E.R inaitwa Smile ni Rege flani hivi. Leo ameachia Nyimbo nyingine kuelekea mwezi wa 10 inaitwa No Stress
Dah nimesikiliza lakini sikuona maajabu kabisa...Ule utawala wake Wizkid huku Afrika umefikia mwisho au? Au niamini yale maneno ya baadhi ya wadau kwamba Wizzy ni Overrated?