Katika karne za enzi zile, zile zamani kabisa, kitu cha thamani kilikuwa ni aidha dhahabu ama silva. Kila himaya ilijivuna kwa wingi wa dhahabu zao, utawala imara na shibe za watu.
Si zaidi ya...
100 Years ni filamu fupi ya majaribio ya kisayansi iliyoandikwa na kuongozwa na John Malkovich na Robert Rodriguez, kwa ushirikiano na kampuni ya vinywaji ya Louis XIII Cognac.
Kilicho cha...
Wakuu naombeni nyimbo za kuabudu za live ziwe za Tanzania, south africa, nigeria na congo kwa mbaali mfano hawa Neema gospel choir na wimbo wao wa wema umenivutia kidgo kutazama.
Nitajie wasanii bongo ambao hujawahi kuwaelewa yaani hata show yake ije na uambiwe uende unapewa posho ya 5000 na kiingilio bure wewe bado hutaenda kwa sababu hawana kipaji wamebebwa Tu na upepo...
NYIMBO ZOTE ZILIZOKO "YOU TUBE"
kwenye account ya (MusicPress) ni Production zangu mwenyewe za Video kwa mikono yangu pia Nyimbo zote kwenye account yangu You Tube (DJ. Don Nalimison) nimegonga...
Je, kuna ukweli wowote kuhusu ndoto zinazojirudia?
Wakuu uzi huu ninaouleta kwenu unahusu mengi kuhusiana na ndoto ikiwemo ndoto za kujirudia pamoja na ndoto zengine tusizozielewa zina maana gani...
Video ya kusisimua inayosambaa mtandaoni imeonesha Tembo mmoja anamkumbatia mwanamke kwa upole huku akimsikiliza akiimba, akionesha wazi jinsi Wanyama wanavyoweza kuungana kihisia na binadamu...
Kwa mwenendo wa movie za kibongo kukosa radha kwenye vitu vya uhalisia ....mimi nimeamua kula course baadae niwe na movie production ambayo itakuwa advanced na inaweza kutengeneza movie za aina...
Za leo wakuu
Nauliza hili, maana pia naona simulizi nyingi humu na za kuvutia zikiwa ndefu vya kutosha. Nitafaidika vipi na utaratibu ni upi wa kuanza kuweka?
Natanguliza shukrani zangu
Nimewamind sana!, yani mimi na ujasiri wote nilionao lakini machozi yakataka kunitoka na hapo nilikuwa naangalia peke yangu!, ningekuwa na yule mshangazi wangu ningeaibika sana!..
Kusema kweli...
Mwaka 2010 uliingia kwenye vitabu vya historia ya Bongo Fleva kama moja ya miaka ya kipekee kupitia shindano la Bongo Star Search (BSS).
Ndani ya jukwaa hilo maarufu la kusaka vipaji, alijitokeza...
Habari zenu wanajamvi wenzangu!
Shimmy wenu niko hapa. Leo, nataka tuingie kwenye safari kidogo. Hebu nikuulize kitu, shemeji. Umeshawahi kumpenda mtu kiasi kwamba unajua fika huyu ndiye wako...
Kuna wakati roho yako inahitaji zaidi ya maneno – inahitaji wimbo. Wimbo unaogusa nafsi, unaobeba uzima, unaoinua moyo wako kutoka uchovu wa maisha hadi kwenye faraja ya kiroho. Kama unapenda...