Album nzima ni mchiriku. Hakuna ngoma yenye uhai wa miaka 5 au 10 ijayo au hata maisha kabisa.
Alikiba wa Cinderela sio huyu wa Ndombolo.
Alikiba wa MacMuga sio huyu wa Salute.
Alikiba wa...
RIWAYA: MLIO WA RISASI HARUSINI
MTUNZI: Robert Heriel
WhatsApp: 0693322300
Chungu cha 01
Alijitazama kwenye kioo kikubwa cha kabati akiwa chumbani kwake. Kila alipojitazama hakuona kasoro...
" FORREST GUMP"
Hii movie itakusaidia kujua kuwa hata mjinga anaweza kukufundisha kitu, ina mafunzo mengi mno ambayo yatakusaidia katika dunia. Kujua kuishi na watu, itakufunza kuwa hakuna ajuaye...
HILIKI YA CHUMBAGENI
MWANDISHI: JOSEPH SHALUWA
“BABY umeamkaje?”
“Honey mzima?”
“Mpenzi wangu umeshatoka hotelini?”
“Laazizi wangu, jamani nakutumia text zote hizo na hujibu kitu, kuna nini?”...
Habari ndugu jamaa na rafiki...!!
Karibu kusikiliza wimbo mpya.
Tati ft Onesix - Mchungaji
Produced by Binladen, Tongwe Records.
Link
[emoji1542]
[emoji1542] Tati Injinia - Mchungaji free MP3...
Asee kama Wewe ni Mdau wa WestCoast Rap utakubaliana nami kwamba katika hii Album ya BODR(Back On Death Row) Snoop D O Double G kaupiga mwingi sana. Ni moja ya Album kali sanaaa... My favourite...
Siipendi BONDITA,
Ila mwanangu mmoja wa kike, ambae mwaka huu anasoma darasa la nne, anaipenda Sana! Katu hapendi kuikosa!
Kauli za BONDITA, "mume waangu, mume waangu!" Zinanitia hofu kuharibu...
Mimi ni mfuatiliaji sana wa movie toka kipindi cha kina Bruce Lee ,ila Kwa kweli sijawahi ona movie kali kama hii GoT na kitu nilichopenda kwenye hii movie ni matukio kuwa unpredictable, movie...
Wakuu,
Kama title inavyotamba, basi. Kwa wale tunaofuatilia hiki kipindi kinachotafuta vijana wenye vipaji vya kuchekesha kwenye stand up comedy (CHEKA TU COMEDY SEARCH) cha wasafi tv tujuzane...
Wakuu awali napenda tumkumbuke kwenye maombi yetu msanii Joseph Haule alejee kwenye majukumu yake ya kila siku.
Pia Jana tulikuwa twazungumza juu ya jay na ubishi ukaja nani mkali kati ya jay na...
Haya mashindano yamekuwa mazuri sana. Na nafikiri sekta ya Stand up comedy Tanzania ndiyo imezaliwa. Washiriki karibu wote walikuwa vizuri sana tofauti na wakina Pilipili, Idrisa na Bukuku. Hawa...
Kwahiyo hakuna Album iliyowahi kufanya mauzo kuizidi Thriller ya Michael Jackson? Na Thriller ni ya kitambo miaka ya 1982. Nawaza zimetoka Album ngapi kali lakini wapi?
Za kina Ed Sheeran, Taylor...
Muziki siku hizi sijui umekuaje? Wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata, Ndombolo,Salute...
Ni Tamdhilia ya Mexico, inamagwiji wenyekujua uhusika wao kwa kiwango cha juu.
Siasa, Misukosuko ya familia, Mahisiano hapa ndipo mahali pake.
Gavana Alonso, Seneta Martnez, Mzee wa Mujini...
Yaani mpaka muda itoshe kusema kwamba WCB ndio the best Music label Tena yenye ushawishi mkubwa kuliko zote katika ukanda wa Africa Mashariki na Kati.
Kwa Tanzania zipo music Labels kadhaa ambazo...