Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,571
- 19,782
Yaani mpaka muda itoshe kusema kwamba WCB ndio the best Music label Tena yenye ushawishi mkubwa kuliko zote katika ukanda wa Africa Mashariki na Kati.
Kwa Tanzania zipo music Labels kadhaa ambazo zinajitahidi kufikia viwango vya WCB Ila bado Sana.
Bora huko Tanzania,Sasa tatizo lipo huku Kenya wakuu.Kiukweli Mimi Ni mfuatiliaji mzuri sana wa muziki ila niseme ukweli tu kwamba wasanii wengi wa Kenya wanapapatika Sana.Especially hili suala la wasanii kusign mikataba na wasanii wenzao Ni shida Sana.
Kenya hakuna music Label yoyote ambayo hata inaweza kufikia kiwango Cha King's Music achia mbali WCB na Kondegang.
Willy Paul na Bahati walijaribu kufungua labels zao zote zilipukutika baada ya muda mfupi tu.
Bahati alifungasha ki- label chake akakiita Eastlands Most Beloved( EMB).Akaanza kumsaini Mr Seed,akawasaini David Wonder na Rebecca Soki.
Baada ya muda mfupi mke wa Bahati kwa jina Diana Maria Akaanza kuwazingua wasanii waliopo chini ya label yao.Wakavurugana wasanii wakaanza kuondoka mmoja baada ya mwingine wote wakasepa mazima.
Leo hii Bahati amebaki mwenyewe tu na mke wake kwenye EMB yao.
Willy Paul alimsaini Miss P wakatoa nyimbo 3 Kisha wakazingua Miss P akaliamusha.
Otile Brown alimsaini Jovial kwenye Just In Love Music records wakatoa nyimbo mbili wakazinguana Jovial akasepa.Ila Hawa hawana bifu bado wanafanya collaborations.