Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habari wana jamvi, kama umepata kusikiliza wimbo wa marioo na country boy utakua unajua jinsi gani wameua kwenye hilo goma. Wimbo ni mkali sana na wametembea kwenye beat vizuri
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Muandishi:- Joseph .D. Migini Call/txt:- +255766604683 Josephdeo70@gmail.com Ndani ya chumba hichi cha wastani kilichoja samani za kufanya kuitwa sebule ya kisasa kwa waingiao. Nilikuwa nimeketi...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Jana Jumatatu Mei 3 saa 1.30 usiku ITV wameanza kuonyesha tamthilia mpya iitwayo UZALO. Kwenye tamthilia hii waigizaji hawajatafsiriwa zikasikika sauti za Kiingereza kama ilivyokuwa kwenye EGOLI...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa tuliokua Teens miaka ya 1990, Koffi Olomide alikua ni mwanamuziki ambaye tumesikiliza na kucheza sana nyimbo zake. Binafsi, album yake ya V12, yenye nyimbo kama Andrada, Bambino, Aspirine...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya ameonesha kukerwa na kitendo cha Mgombea Urais kupitia Azimio nchini Kenya, Raila Odinga kumwalika Diamond Platinumz kufanya show kwenye kampeni zake leo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Huwenda hii ndio animation itakayouza Sana mwaka huu na Kali pia Imesetiwa na director Kyle Balda Ndan ya studio kuna watilia sauti magwiji kama Dolph iandeni, Michele yeoh na Claud Van damme...
1 Reactions
6 Replies
995 Views
Baada ya kushindwa kutoa burudani Agosti 8, 2022 kwenye Ukumbi wa Next Door Arena, msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria alikamatwa na polisi na kuweka kituo cha Oysterbay jijini Dar es salaam. Leo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu salamu Husika na Title ya huu uzi. Tuzo za muziki za Tanzania zinatolewa usiku huu ikiwa ni miaka 7 imepita bila uwepo wa Tuzo hizi nchini Tanzania, tuzo za mwaka huu zinatolewa kwenye...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za leo Wakuu! Leo nakuja na uzi maalumu kwa wote wanaohitaji ushauri unaohusiana na suala zima la mahusiano, kwa kutumia baadhi ya maneno kutoka kwenye nyimbo za wasanii mbalimbali ( Hasa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Weekend iliyopita ilikuwa siku nzuri kwa Diamond Platnumz wakati mgombea Urais Raila Odinga aliposimama mbele ya Wakenya na kuwaomba kumpigia kura kama Rais ajaye kabla ya Uchaguzi Mkuu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Wanasemaga muziki ni food to the soul, na Mziki pia ni universal language kwamba unaweza usielewe lugha ya kinachoimbwa lakini nyimbo ikakugusa sana. Binafsi Kuna nyimbo...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Hello ladies in Gentlemen, how are you doing well today? I want to talk about stranger things. It's a great movie to be honest but there's one problem. it's not well thought out. and there are...
2 Reactions
4 Replies
944 Views
Yaani nacheki cheki hapa dah nimeishiwa nguvu kwanza naona yule jamaa sijui chawa anaitwa bill sepenga ndio mtangazaji akiwa na dullah. Hiyo mosi sio mbaya Pili wageni wenyewe sasa wameleta...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Jamani naombeni msaada eti ni channel gani ya tv naweza kutazama hizo ndondi za LFC yaani lingerie fighting championship
0 Reactions
3 Replies
681 Views
Habari za wakati huu Kwa ambao hawafahamu storyteller ni wale wasanii ambao nyimbo zao zipo kwenye mfumo kama wa simulizi flani hivi. Kifupi aina hizi ya nyimbo huwa hazichoshi kusikiliza miaka...
1 Reactions
1 Replies
680 Views
Tukisema nyie bado Sana kimataifa mnabisha [emoji28] Unaambiwa Aziz k na mayele walipoingia tulipiga kelele Kama limefungwa goli...[emoji28][emoji28] Hapa naplay Ngoma ya motra the future...
1 Reactions
2 Replies
589 Views
Tuna safari ndefu sana katika maisha na kila mmoja anakutana na mikasa yake. Lakini katika yote hayo yaani safari ndefu na mikasa ambayo tunakutana nayo kuna kitu kimoja tu ambacho kinatufanya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwaka jana Ngowi alibuni jezi za Yanga ya Nyumban ile Kijan akaharibu sana Mwaka huu the same Jezi ya Nyumban kaharibu(tusiogope kusema ukweli wanayanga ameharibu) Mwaka Jana Vunjabei...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za wikiendi.. Kama nilivyouliza hapo juu ni jina lipi la hadithi,kitabu au novel huwa linakuvutia sana au unalipenda. Mimi napenda sana Why men love bitches. Manipulated man. Tutarudi na...
2 Reactions
113 Replies
11K Views
Wakuu nimeanzisha uzi huu kuulizia nyimbo yoyote na kuweka link za kudawnload hapa karibuni
0 Reactions
43 Replies
39K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…